sina habari zake.
jaman wif mbona hujanipgia sim unakuja kuniulzia uku? Me mzma wif.
kweliii????...
Jaman last house tena kulikon bodgad wangu?
ndio, kwani nilikuja kazini hiyo siku aliyouliza?
njoo home kwangusiku ya pasaka ukipenda
nashukuru kwa mwalko wako ngoja nianze kuomba ruhusa mapema kwa mr.
Nashukuru kwa mwalko wako ngoja nianze kuomba ruhusa mapema kwa Mr.
nenda mama ukale mayai ya kuku chotara,
come down
Umenisiktsha sana..
yaishe sitokuudh tena boss
yaishe sitokuudh tena boss
kwakuwa tuko pamoja sasa tutatumia mabodigadi waliopo hapa nyumbani, sioni busara ya kuja na bodigadi ulietoka naye nyumbani.
acha abaki na wenzake kwa baba mkwe wangu.
sawa umesamehewa.
kwakuwa tuko pamoja sasa tutatumia mabodigadi waliopo hapa nyumbani, sioni busara ya kuja na bodigadi ulietoka naye nyumbani.
acha abaki na wenzake kwa baba mkwe wangu.
asante.
Nashukuru kwa ruhusa yako Mme, pia ningeomba tuende pamoja bado sitak kukuacha popote dia.
SIJAKUSOMA MKUU KUMBE NAWE HUMO HUKU HAYA
NGOJA NIKUPIGE PICHA 😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto:😛hoto: