Muktadha, ndugu yangu, muktadha. Unaweza kuwapa CCM dakika tano za kuwafagilia na Chadema dakika 7 za kuwaponda. Muktadha!Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
ushabiki sio mzuri hasa unapolipwa kwa kujibu hoja za makavirondo wenzio mitandaoniNimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.

Nimeiangalia habari ile na nikagundua kwamba habari za Chadema zimerushwa kwa muda wa dakika saba wakati ile ya CCM imechukua dakika tano. Sijui malalamiko haya yanatoka wapi kwa sababu wote wamerushwa tena Chadema wamepewa coverage kubwa katika yale yaliyotokea na wanayoyajua, kuendesha kesi. Unataka kizungumzwe nini wakati yaliyotokea kwa leo kuhusiana na Chadema ni kwenda kujibu tuhuma zao dhidi ya udhalilishaji.
nini kilizuia asibakwe..

mbopo umesahau ni udhalilishaji na kujaribu kubaka,yule mbunge mwanaume wa chadema alisema anataka kuzaa nayule mama mkuu wawilaya inamana walimteka wakambake?kazi ipo igunga tutasikia mengi mwaka huu.
Naona unaota mchana kweupehawa jamaaa sisiemu hatima 2015
Muda si mrefu tutamrudisha tido kwa nguvu ya umma
ushabiki sio mzuri hasa unapolipwa kwa kujibu hoja za makavirondo wenzio mitandaoni