Naangalia taarifa ya habari ya saa 2 usiku kupitia TBC TV..
Kilichonisikitisha ni namna wanavyotangaza kuhusiana na uchaguzi mdogo wa igunga..wameonesha viongozi wa CDM wakipelekwa mahakamani na kupatiwa mzamana, sina tatizo na hili..
Pili wakaonesha campaign zinavyoendelea Igunga na hapa ndipo kwenye tatizo kwa sababu muwakilishi wa TBC aliyepo igunga ameonesha na kuzungumzia kampaini za CCM kwa kirefu kama dk nne hivi pasipo kuonesha wala kuzungumzia kampaini za vyama vingine kabisaaa....
Kwa mtazamo wangu kwa kuwa hili ni chombo cha umma kinatakiwa at least kuonekana kinabalance taarifa zake...