Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 15,986
- 7,366
Mkoloni wako muhindi ndo amekuachia saa hizi umeweza kupost?
Ile kazi nyingine umeacha au jamaa budget imesumbua, ofcoz na mipesayote imeenda igunga saa hizi.
Ile kazi nyingine umeacha au jamaa budget imesumbua, ofcoz na mipesayote imeenda igunga saa hizi.
CDM bana wakionyeshwa na TBC maneno, wasipoonyeshwa wanalalamika yani ni watu wakulilia tu mpaka wanatia huruma