Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
MFYUUU TBS WALIKUWA WAPI NA WAKO WAPI? KWA WATZ HZ SIMU ZITAENDELEA KUTUMIKA TU HAKUNA NINI WALANINI!Hivi mkuu ile mitambo ya analogia ilizimwa?
Mimi kwa upande wangu kuzima simu fake ni jambo la muhimu sana kwakua hizi simu zina madhara si tu kiafya bali na katika Usalama katika jamii yetu.
Simu fake zina IMEI fake amabazo hazitambuliki hivyo ni rahisi sana mtu kufanya uharifu bila kugundulika akitumia simu fake.
N.B.
Ila nashauri serikali ingejizatiti zaidi kwenye kuzuia matatizo kuliko kusolve matatizo ambayo tayari yamekwishatokea.
Jaluo nyeupe unatembelea na pande hizi.....Hahahaa ndio muda wake huu. We unahisi wapi unapigwa chai kwenye simcard nne au upande wa betri?
Wewee damuchanga...... Simu unazima na kuwasha mwenyewe....wao wanaondoa mawasiliano tu.... Unaweza kusikiliza music,kuangalia video,kupiga picha au hata kumpa mtoto achezeee..... Zitakuwa na matumizi tu...Mimi natabiri simu hazitazimwa.
ULE WIMBO WA TENDA MUUJIZA UNAKUHUSU MKUUsimu yangu ni samsung S6 na nikinunua laki 5 ila ni fake. inauma[emoji28] [emoji28] [emoji28]
POLEE KIPENZI... MWAEGO WATAANGALIA WALIONUNUA BEI KUBWA hata kama ni feki WATAWAPA UPENDELEO😉😉😉😉unazidi kuniongezea maumivu[emoji30]
TCRA wamesema watatoa utaratibu wa nini cha kufanya hizo simu kwani hazifai kwa matumizi ya bidamu.Wewee damuchanga...... Simu unazima na kuwasha mwenyewe....wao wanaondoa mawasiliano tu.... Unaweza kusikiliza music,kuangalia video,kupiga picha au hata kumpa mtoto achezeee..... Zitakuwa na matumizi tu...
Mkuu jambilo ndio yaleyale watu hawasomi instructions!Mkuu sijasema wanazima 12 asubuhi bali watazima usiku wa leo saa 6 kwa kiswahili
Watz wengi wamefeli kabla ya mtihaniMkuu jambilo ndio yaleyale watu hawasomi instructions!
Ungewasihi watupe feedback kesho asubuhi tuone!Hata mtihani wengi wanafeli kwa kutosoma na kuelewa instructions, simu feki zitazimwa tar 16/6/2016 saa 6 usiku, masaa 18 yajayo na sasa ni saa 12:00 asubuhi(kwa kiswahili)
Watakesha leo kusubiri hukumuUngewasihi watupe feedback kesho asubuhi tuone!
Ha!Ha!.Viroho juu juu!Wataziswap laini mpaka ziwake moto!Watakesha leo kusubiri hukumu
Sukari hakuna, simu imefungwa, kazi utata...digit????Ha!Ha!.Viroho juu juu!Wataziswap laini mpaka ziwake moto!
Wenye vibanda vya mpesa na tigo pesa nk waweke utaratibu wa kuwa na simu[handset,cellular phone] ya tahadhari manake kutakuwa na uhitaji huo watu kutembea na laini na sio simu itakuwa ni jambo la kawaida!Sukari hakuna, simu imefungwa, kazi utata...digit????
Itabidi niuze ka nokia ka tochi kwa bei ya juu is sukariWenye vibanda vya mpesa na tigo pesa nk waweke utaratibu wa kuwa na simu[handset,cellular phone] ya tahadhari manake kutakuwa na uhitaji huo watu kutembea na laini na sio simu itakuwa ni jambo la kawaida!