Updates: Zoezi la kupiga kura - Arumeru East

Status
Not open for further replies.
Ni Kirumba jijini Mwanza,anaitwa bwana Nurdin.Vyombo vya dola vimealifiwa na havijachukua hatua yoyote:Vijana wa CDM sasa wanajipanga kuchukua sheria mkononi.Hali si shwari kabisa na kitendo cha kujeruhiwa wabunge wa CDM kimezua hasira kubwa kwa wakazi wa Mwanza.Natabiri uvunjifu mkubwa wa amani leo usiku,kwani kila vijiwe ninavyopita vijana wanapanga mikakati ya kulipiza kisasi.Polisi kuweni makini sana leo.
 
This socket is in Dar Es Salaam, it wants to Light the Lights in Arumeru while it doesnt posses a wire or a wireless connection...what a joke.
 
Mimi ni Mwanaharakati na Mwananchi wa Arumeru Mashariki ninayependa mabadiliko,maendeleo na haki
 
Tafuta kabia na kambuzi bana kona sheherekea. Chadema imeshinda arumeru. Nitarudi baada ya matokeo.
 
jamani mpambane chadema tunajua tuna wakati mgumu sana saizi kwa ajili kujikomboa ila kingine tumuombe kiwia mbunge wa ilemela hali yake siyo nzuri na yuko kwenye ndege saizi anapelekwa dar kwa matibabu zaidi
tanzania ni nchi ya amani na inafuata siasa za demokrasia yaani utawala wa watu!!!!!!
 
Badirisha heading yako hiyo,unaposema wameanzisha vurugu me nilifikiri wanalusha mawe,wanapiga watu,kumbe wanazunguka zunguka tu,hiyo sio vurugu jifunze matumizi ya maneno husika kwenye tukio husika.
 
kwa sasa nipo nyumbani/Tengeru, nilifika jana ili kutekeleza haki yangu ya msingi kama mwananchi wa Arumeru
 
dawa ya kuzima mto ni kumwagia petroli tu (kinachoungua kitaisha haraka moto utazimika wenyewe)
 
Je hao ndio wale wale wa Embeseni? kuna mtu ametoa story kama hiyo ila kuna tofauti kidogo. kwamba walikuja na kuanza kuvurumsha mawe laki huyu anaaema walivurumishiwa mawe. labda ni vituo viwili tofaiti na hivyo matukio ni tofauti
 
Mh Mh,,,haiwezekani viongozi wetu wapigwe alafu tukae kimya,,,,,something will must be done anytime just wait...
 
Watatuua, watatukatakata mapanga lakini hawatatunyamazisha kamwe hadi mkoloni mweusi (ccm) aachie nchi yetu. Ukombozi una gharama zake hata kama ni damu na unahitaji kujitolea.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom