Mi kinachonisikitisha ni hili jambo la lugha kwa watanzania. Kiswahili hatujui, kiingereza hatujui. sisi tunajua nini? napata wazo kuna haja ya kuanzisha darasa la lugha humu ndani ya jamiiforums. otherwise people are writing some stuff when you read it is very hard to understand why the person is using english while he or she isnt competent? nimeongea kizungu kuonesha msisitizo. jambo moja ninaloweza msifu faiza ni kuwa anapenda sana lugha hilo tuna ushirika kwa kweli maana wenyeji wa upwa wanasema " mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" ingawa... ashakum si matusi kuna wakati flan faizafoxy ana watu wake atawatetea tu bila hata kureason kwa sabab ya...... na mahaba pia. kwenye suala la lugha nakuunga mkono. wanaosema ndio waseme ndio walioshindwa waseme ndio pia. waliosema ndio Tumeshinda. Hoja imepita.