NAKEMBETWA
JF-Expert Member
- Apr 20, 2012
- 3,517
- 3,139
kapigwa risasi na majambazi? ilikuwaje hebu njoeni na taarifa jaman wengne ndo leo tunafungua jf baada ya hotuba ya "mzee wa hela za madafu"
Yule dada hajafa jamani
Merry Chtistmass
Kuna kikundi cha majambazi wanatembea na boxer waliua jamaa hapa masoko tabata kwa kumpiga risasi,vile vile walimkosa jamaa baada ya kumpiga risasi ikatoboa sikio maeneo ya mlimani city wakachukua hela inasemekana walienda Sinza baa ya Mawela wakaua mlinzi na kuweka wateja chini ya ulinzi wakachukua hela, siku iliyofuata inasemekana ndio wakafanya tukio morroco.
Kwaivyo, Bi: FF mahaba niuwe yana muhusu hapa jf.....?Mi kinachonisikitisha ni hili jambo la lugha kwa watanzania. Kiswahili hatujui, kiingereza hatujui. sisi tunajua nini? napata wazo kuna haja ya kuanzisha darasa la lugha humu ndani ya jamiiforums. otherwise people are writing some stuff when you read it is very hard to understand why the person is using english while he or she isnt competent? nimeongea kizungu kuonesha msisitizo. jambo moja ninaloweza msifu faiza ni kuwa anapenda sana lugha hilo tuna ushirika kwa kweli maana wenyeji wa upwa wanasema " mnyonge mnyongeni haki yake mpeni" ingawa... ashakum si matusi kuna wakati flan faizafoxy ana watu wake atawatetea tu bila hata kureason kwa sabab ya...... na mahaba pia. kwenye suala la lugha nakuunga mkono. wanaosema ndio waseme ndio walioshindwa waseme ndio pia. waliosema ndio Tumeshinda. Hoja imepita.
Unapoanzisha uzi fikiria watu ambao ndo wanasoma hiyo habari kwa mara ya kwanza.
Lugha za watu hizi jamani, zitendeeni haki.
kapigwa risasi na majambazi? ilikuwaje hebu njoeni na taarifa jaman wengne ndo leo tunafungua jf baada ya hotuba ya "mzee wa hela za madafu"
Hahaha hahaha hahaha hahaha hahahaUnapoanzisha uzi fikiria watu ambao ndo wanasoma hiyo habari kwa mara ya kwanza.
merry chtistmass
Lugha za watu hizi jamani, zitendeeni haki.
Lugha za watu hizi jamani, zitendeeni haki.