George Barran
JF-Expert Member
- Sep 2, 2015
- 654
- 1,301
Tayali na tumeshaanza kutumiaEmbu kuweni serious basi mmelipwa au bado hamjalipwa?
Tayali na tumeshaanza kutumiaEmbu kuweni serious basi mmelipwa au bado hamjalipwa?
Sie wajeda tumeshalipwa tayal
Wanaaga Mwanza mzigo unaingia...bt saivi ushakata tukutane Tar 23.Wakuu tupeane ripoti za mshahara wa mwezi katika utawala wa Rais wa 6 awamu ya 5 mama yetu Samia Saluhu.
Ameshalipa? Tujuzane ili wanao dai tuweze kuwavutia waya
Ni matumizi tu mdogo wangu tumia pesa ikuzoeeIla mlivyo Maboya Siku ya 3 tu umeisha.
Ni matumizi tu mdogo wangu tumia pesa ikuzoee
Ila mlivyo Maboya Siku ya 3 tu umeisha.
Hawajui ata walichotumia