Updates za Corona Tanzania

Breaking News :

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe @umwalimu amethibitisha Tanzania kuwa na Mgonjwa mmoja mwenye virusi vya Corona
ambaye aliingia Nchini kutokea nchini Ubeligiji
#DARMPYABLOGUPDATES Darmpya on Twitter

Jr[emoji769]
 
Tusipokee ndege!halafu tukae kwa kutulia mipaka ifungwe na elimu izidi kutolewa

Imeisha iyo
 
Hapo ndipo tutakapoangamia
 
Bill Gates katabiri vifo milion kumi kama virus vya huu ugonjwa vikifanikiwa kupenya Africa.. Manake hatufanyi juhudi zozote zaidi ya matamko yasiyo na tija2.. Na mengi yakiwa ni ya kisiasa zaidi

Jr[emoji769]
Serikali ya magufuri badala ya kuweka jitihada ya kuzuia CoronaVirus yenyewe iko busy kudhibiti Chadema
 
Jana nlikuwa kwenye eneo la mkusanyiko wa watu wengi.nilishikwa mafua ya ghafla mpaka sasa nina mafua makali mpaka navimba osoo.loh.sijielewi elewi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais alikuwa anaongea na wananchi Mlandizi baada ya kumaliza.....Kanali Bernad Mlunga akamnongoneza kitu......Rais akarudia kuongelea Corona.....nilipoona tu hii incident nikajua muda umefika
 
Bill Gates katabiri vifo milion kumi kama virus vya huu ugonjwa vikifanikiwa kupenya Africa.. Manake hatufanyi juhudi zozote zaidi ya matamko yasiyo na tija2.. Na mengi yakiwa ni ya kisiasa zaidi

Jr
Yaani serikali iko tayari kuruhusu Codiv19 iingie nchini kuliko kuruhusu Chadema kufanya mambo yake free bila kuzongwa na dola la ccm
 
Sasa huyu aliji-isolate mwenyewe wakati bado yuko sehemu ya huduma? Ina maana siye tukienda hotelini twaji-isolate? Sikujua hili. Corona imeleta jambo.
 
Naskia ving'ora tuu tangu saa Tisa barabara ya Airport Arusha to town sijui nn hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…