Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Akiteuliwa kuwa mgombea wa ccm Ukawa wanachukua nchi saa 4 asubuhi wanakunywa chai ikulu.
 
Mkuu kiloriti unategemea kuna jipya la maana lolote huko?.Subiri utaona kama kutakuwa na tofauti zaidi ya kupakana mafuta na sifa za uongozi uliotukuka!
 
Lowassa kapata wapi utajiri mkubwa namna hii.mpaka sasa ameshatumia mabilioni ya fedha kwa viongozi wa dini pamoja na watanzania wenye njaa kuwashawishi wamsapoti katika harakati zake za kuingia ikulu.je huyu mtu ana malengo gani pale ikulu na kwanini atumie fedha nyingi kiasi hiki ili tu awe raisi wa nchi hii.? Jamani watanzania tukumbuke maneno ya mwalimu Nyerere mtu anayetumia fedha kwenda ikulu ni wa kumuogopa kama ukoma.mtajuta nawaambia haya asiyesikia la mkuu.....
We mwenyewe ukoma.ndondocha wewe kama huji kutafuta fweza ni juu yako wenzio wanapiga kaz.acha kuishi kwa kucheza bao
 
UZi wa namna hii sio JF, huna taarifa subiria taarifa zitakuja tu, sasa unaandika hakuna content yoyote kwa maslahi yapi?? ya kuanzisha uzi??? am sorry i did not like it at all.
 
UZi wa namna hii sio JF, huna taarifa subiria taarifa zitakuja tu, sasa unaandika hakuna content yoyote kwa maslahi yapi?? ya kuanzisha uzi??? am sorry i did not like it at all.

I like ur post..bse u did the same thing.
 
woga na wivu ndio msukumo wa chuki dhid ya lowassa kwa wale ambao hawako nae kwan upepo wake unatisha
 
tumefiwa na muhamasishaji wa chama kwenye nyimbo, kwahiyo tumechanganyikiwa maana ni kiungo sana.
 
Sina updates, ila sijui kama wana taarifa kwamba mwimba mashairi wao mkuu is no more.
 
Back
Top Bottom