Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Nilidhani wataazimia tamko la majina ya wanufaika wa escrow kupitia Stanbic yawekwe hadharani na wahusika wachukiliwe hatua za haraka.

KAMATI KUU ya CCM iliyokutana leo tarehe 28/8/2015, kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja alasiri, imeazimia yafuatayo;

1. Kamati Kuu iliyopita iliiagiza kamati ya maadili kuwaita na kuwahoji wanachama na viongozi watatu waliotajwa kuhusika na kashfa ya Escrow
2. Viongozi hao ni; @ Mheshimiwa Anna Kajumulo Tibaijuka. @ Mheshimiwa William Mganga Ngeleja. @ Mheshimiwa Andrew Chenge.
3. Baada ya Kamati ya Maadili kuwahoji, Kamati Kuu imeazimia kuwasimamisha kuhudhuria vikao vyote vya Chama ambavyo wao ni wajumbe.
4. Ikiwemo Kikao cha Kamati Kuu kwa Mama Anna Tibaijuka na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa Mheshimiwa Chenge na Mhe. Ngeleja.
5. Wakati ambapo kamati ndogo ya maadili ikiendelea na uchunguzi wa kuhusika kwao katika kashfa hiyo.
6. Pia, Kamati Kuu imejadili suala la Adhabu iliyotolewa kwa wanachama wake sita ambao walibainika kuvunja Kanuni na sheria za Chama.
7. Kamati Ndogo ya Maadili imeagizwa kuendelea kuchunguza mienendo ya wanachama hao walioadhibiwa kwa kuanza Kampeni kabla ya wakati.
 
Utetezi wa kwamba alifanya kosa kwa sababu alitumwa ama walishirikiana na raisi, haumuondelei hatia ya kutenda kosa. Sawa na mwizi yeyote anayesema niliiba hili gari kwa sababu bosi wangu alinituma niliibe. Wizi ni wizi na tenda ukishakuwa kwenye mtandao ndio hatari zaidi. Lowasa kusema alishirikiana na kikwete kwenye wizi ule, unamfanya awe wa hatari zaidi.

Akijitetea kwamba alifanya bila kujua kama ni kosa, maana yake hata kuwa katika hicho kiti cha waziri mkuu, hakustahili. Huwezi kuwa na waziri asiyejua majukumu yake, mipaka yake na miiko ya kazi yake.

Na kama hadi leo amegoma kusema nani mmliki wa richmond wakishirikiana na kiwete wake, ni ujumbe tosha kwamba hawa watu wanalindana na atakuja kumalizia alichobakiza kikwete.

Lowasa hawafi hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi.

Richmond--Richard Monduli
 
Jinsi ccm isivyo na maamuzi hata serikali ipo hivyo hivyo,wamejua neno kuchunguza basi tabu tupu
 
Mbinu na harakati za E.N.Lowasa kusaka nafasi ya kugombea uraisi kwa tiketi ya CCM zimewapiku kwa mbali sana wapinzani wake ndani na nje ya chama.
~~Kama kuna mtu ndani ya CCM haamini..basi mwacheni Lowasa ashindane kwa hak ndan ya sanduku la Kura mujionee maajabu...atashinda mpaka kura za mahasimu wake.
 
Habari ya kifo cha komba itavuruga ratiba za ccm lazima.kwa sasa wanapanga nani ataziba pengo na mida uliobaki ni miezi Kama mitano Tu kampeni zianze.hili ni pigo kubwa sana kwa ccm.

Muumini mwinyijuma a.k.a mtoto yatima atachukuwa nafasi yake, kwani sasa yuko kwenye mawe.
 
LOWASSA HAFUKUZIKI CCM HATA IWEJE MLISHACHELEWA SAAANA TU.

Mtandao wa Laigwanan Eddo ni Mkubwa mno Nchi hii wakithubutu kumuengua Moto utakaowawakia Magamba hakuna wa kuuzima ukomo wa siasa za CHAMA CHA MAPINDUZI utakuwa umefika.

NA WATAKAOFAIDIKA NI UKAWA KUSHINDA KWA KISHINDO BILA USHINDANI WOWOTE.

Kuwa mzalendo wewe. Acha kuropoka ovyo. Eti watakaofaidika ni UKAWA, kwamba unatarajia CCM wakiweka Bogus kama Lowasa itapita?

Haijalishi hapa. Suala ni Mtu mwenye Utu na Uzalendo. Sio Mwizi na Fisadi kama Lowasa. Hata kama UKAWA itachukua nchi, well and good! Coz Watanzania ndio watakaokuwa wamempa kura Mgombea wanayemtaka.

Vyama ni zaid ya Nchi. Be serious plz! 12STONE
 
Last edited by a moderator:

tangu lini vyama vimekuwa zaidi ya Nchi? acha maneno ya kukaririshwa na wegine weye,wizi na ufisadi wa lowassa ni upi?

waweza orodhesha ni shs ngapi lowassa aliiba???

mie ninachojua ndani ya ccm baadhi ya wezi ndio wanaogopa sana lowassa akiwa Rais maslahi yao ya kiwiziwizi yatakoma so,wanajitahidi kila hali kudhibiti lakii kiukweli kwao sasa jambo hilo WAMECHELEWA SANA.

Am serious men!!!
 
SORRY; "Chama si zaid ya Nchi". That's what i meant.

Wizi wa Lowasa uko njenje sana. Very popular na hata mtoto mdogo anaweza akakuwekea list. Unless wewe ni mtoto mchanga hujii kinachoendelea.

Eti ni wezi wa CCM ndo wanamhofia, kweli umepotea sana! Kwa "CHENGE" swakhiba mkubwa wa Lowasa naye sio mwizi?

Don't try to fool people!
 
KAMATI KUU ya CCM iliyokutana leo tarehe 28/8/2015, kuanzia saa nne asubuhi mpaka saa kumi na moja alasiri, imeazimia yafuatayo;

1. Kamati Kuu iliyopita iliiagiza kamati ya maadili kuwaita na kuwahoji wanachama na viongozi watatu waliotajwa kuhusika na kashfa ya Escrow
2. Viongozi hao ni; @ Mheshimiwa Anna Kajumulo Tibaijuka. @ Mheshimiwa William Mganga Ngeleja. @ Mheshimiwa Andrew Chenge.
3. Baada ya Kamati ya Maadili kuwahoji, Kamati Kuu imeazimia kuwasimamisha kuhudhuria vikao vyote vya Chama ambavyo wao ni wajumbe.
4. Ikiwemo Kikao cha Kamati Kuu kwa Mama Anna Tibaijuka na Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa kwa Mheshimiwa Chenge na Mhe. Ngeleja.
5. Wakati ambapo kamati ndogo ya maadili ikiendelea na uchunguzi wa kuhusika kwao katika kashfa hiyo.
6. Pia, Kamati Kuu imejadili suala la Adhabu iliyotolewa kwa wanachama wake sita ambao walibainika kuvunja Kanuni na sheria za Chama.
7. Kamati Ndogo ya Maadili imeagizwa kuendelea kuchunguza mienendo ya wanachama hao walioadhibiwa kwa kuanza Kampeni kabla ya wakati.

Rekebisha tarehe kuweka kumbukumbu sawa ni tarehe 28/02/2015
 
SORRY; "Chama si zaid ya Nchi". That's what i meant.

Wizi wa Lowasa uko njenje sana. Very popular na hata mtoto mdogo anaweza akakuwekea list. Unless wewe ni mtoto mchanga hujii kinachoendelea.

Eti ni wezi wa CCM ndo wanamhofia, kweli umepotea sana! Kwa "CHENGE" swakhiba mkubwa wa Lowasa naye sio mwizi?

Don't try to fool people!

asante kukubali kosa,

tuwe wa kweli wajemeni hivi swahiba wako akishikwa wizi mtapelekwa lupako naye???

chenge ni chenge lowassa ni lowassa WATENDEWE HAKI NA PIA WAHUKUMIWE KWA HAKI.
AKOSEE KIKWETE ADHABU ABEBE LOWASSA???

Hakuna ushahidi wa wizi na Ufisadi wa Eddo lakini wengine tuna ushahidi mmoja kakwapua escrow billions 70 na mwenzake kaondoka na furushi la billions 8.

hao wanafahamika.

wizi wa nje nje ndio upi huo?
 
Nawaombea sana wapate nguvu na roho ya kumfukuza Rowassa
 
asante kukubali kosa,

tuwe wa kweli wajemeni hivi swahiba wako akishikwa wizi mtapelekwa lupako naye???

chenge ni chenge lowassa ni lowassa WATENDEWE HAKI NA PIA WAHUKUMIWE KWA HAKI.
AKOSEE KIKWETE ADHABU ABEBE LOWASSA???

Hakuna ushahidi wa wizi na Ufisadi wa Eddo lakini wengine tuna ushahidi mmoja kakwapua escrow billions 70 na mwenzake kaondoka na furushi la billions 8.

hao wanafahamika.

wizi wa nje nje ndio upi huo?

Mkuu; kuna uchafu mwingi Lowasa kawafanyia Watanzania.
Katu, hatuwezi kusamehe kwani anaendelea kutunyonya na kutuibia.

Jitahidi kufuatilia threads mbalimbali humu ndani na kwingineko. Utayapata mengi sana juu ya Uhuni na Ufisadi wa Lowasa ktk Taifa hili.
 
Attachments

  • 1425163985138.jpg
    1425163985138.jpg
    61.3 KB · Views: 128
  • 1425164214939.jpg
    1425164214939.jpg
    60.7 KB · Views: 130
Mkuu; kuna uchafu mwingi Lowasa kawafanyia Watanzania.
Katu, hatuwezi kusamehe kwani anaendelea kutunyonya na kutuibia.

Jitahidi kufuatilia threads mbalimbali humu ndani na kwingineko. Utayapata mengi sana juu ya Uhuni na Ufisadi wa Lowasa ktk Taifa hili.

Kwahiyo Membe ndiye anafaa?

Acheni unafiki kima nyie CCM hakuna msafi hata mmoja hivyo usilete porojo na kilio cha wivu kama mke mwenza...

Nyie ni manafiki tu mnaopika fitina kutetea matumbo yenu yaliyokosa pose ila nakwambia ktk koroma zote zilizoko CCM aheri Lowassa anaweza leta ladha kwenye mchuzi sio hao wapuuzi wenzenu...

CC Pasco

MUSSA ALLAN
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom