Lusungo
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 29,492
- 42,564
Nawaombea sana wapate nguvu na roho ya kumfukuza Rowassa
Kinakupwita mpaka unakosea spelling kamwambieni huyo mamba mpika majungu wenu akakeshe kwenye mdimu urais hapati ng'oo
Nawaombea sana wapate nguvu na roho ya kumfukuza Rowassa
Mkuu; kuna uchafu mwingi Lowasa kawafanyia Watanzania.
Katu, hatuwezi kusamehe kwani anaendelea kutunyonya na kutuibia.
Jitahidi kufuatilia threads mbalimbali humu ndani na kwingineko. Utayapata mengi sana juu ya Uhuni na Ufisadi wa Lowasa ktk Taifa hili.
Mkuu tatizo siyo jf tatizo watu wanajisahau wanajua huku ni facebook.Kweli JF imetoka mbali...na imeanza kuzeeka. Back in the days, tungeshuhudia chanzo cha kuaminika kikitiririka live&direct from Dodoma. We have now resorted to speculations due to absence of such reliable sources
hizo ni thread za akina Yeriko wala huo sio uthibitisho halisi wakutuonesha kuwa lowassa alitumia fedha hizo kinyume na matumizi kusudiwa.
Je! huo ndio uthibitisho pekee wa ufisadi wa Lowassa?
Kwanini msituwekee ushahidi EPA,RICHMOND na ESCROW tuone aliiba kiasi gani???
kama hamna uthibitisho wa wizi na ufisadi wa lowassa FUNGENI MIDOMO NA MUACHE CHUKI NA UNAFIKI.
Bavicha kwa matusi bana........Kamuulize Bi. Mkubwa wako anajua kama huwa natangulizaga miguu au kichwa?
......Wee nawe usiwe kama kipofu, umeona alichoadnika huyo mwenzio hapo juu au unaropoka tu!!. Nani kakuambia mimi BAVICHA? Unadhani ukileta upunguani wako humu nitaogopa kukujibu kisa utaniita BAVICHA?.Bavicha kwa matusi bana.