Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Updates: Yanayojiri CC ya CCM

Wamfukuze kwa lipi? wajumbe wengi wenyewe wa lowassa sasa nani wa kumfukuza. funga domo lako hujui kitu.
 
KIKAO CHA KAMATI KUU...................kikao cha kamati kikuu kinaendelea sidhani agenda ni moja tu, kuna agenda nyingi hiyo ni ndogo sana, lakini CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MISINGI YAKE KILIYOJIWEKEA TOKA ENZI NA DAHARI, acheni ushabiki maandazi Edward Ngoyai Lowassa hawezi na hataweza kuwa rais wa nchi hii ya Tanzania, hata yeye kwenye nafsi yake anajua hilo kwa hali ilipofikia anajua tu, ila ni vigumu kujitoa katika mbio hizo kwa sasa.

TUHUMA ZINAZOMKABILI ni nyiiiiiiiiiiiiiiiingi, MASHAKA WALIYONAYO WANACCM WENZIE JUU YAKE ni meeeeeeeeengi, sasa anajua hawezi kuwa, UTAJIRI WAKE UNAMASHAKA MAKUBWA KWANI HAUELEZEKI kwa kifupi mambo ni mengi .

jueni tu kwamba Edward Ngoyai Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii ya Tanzania. aendelee tu kumuunga mkono kijna wake Emmanuel Nchimbi hivyo hivyo japo anaweza kufika tano kwa kuanzia.
 
Lowassa atangazwe rasimi kama mgombea wa CCM baada ya kuwaacha kwambaali akina Ngereja,Chenge na akina Tibaijuka kwa kuwa nasifa maalumu zinazotakiwa na CCM.
 
Vikao vya CC Ni vizito vyenye wajumbe wachache,mara nyingi wanaheshimiana na hawapendi mikwaruzo.Na mara zote maamuzi yao huwa kinyume na minongono ya vikundi kabla ya kikao
 
KIKAO CHA KAMATI KUU...................kikao cha kamati kikuu kinaendelea sidhani agenda ni moja tu, kuna agenda nyingi hiyo ni ndogo sana, lakini CHAMA CHA MAPINDUZI KINA MISINGI YAKE KILIYOJIWEKEA TOKA ENZI NA DAHARI, acheni ushabiki maandazi Edward Ngoyai Lowassa hawezi na hataweza kuwa rais wa nchi hii ya Tanzania, hata yeye kwenye nafsi yake anajua hilo kwa hali ilipofikia anajua tu, ila ni vigumu kujitoa katika mbio hizo kwa sasa.

TUHUMA ZINAZOMKABILI ni nyiiiiiiiiiiiiiiiingi, MASHAKA WALIYONAYO WANACCM WENZIE JUU YAKE ni meeeeeeeeengi, sasa anajua hawezi kuwa, UTAJIRI WAKE UNAMASHAKA MAKUBWA KWANI HAUELEZEKI kwa kifupi mambo ni mengi .

jueni tu kwamba Edward Ngoyai Lowassa hawezi kuwa rais wa nchi hii ya Tanzania. aendelee tu kumuunga mkono kijna wake Emmanuel Nchimbi hivyo hivyo japo anaweza kufika tano kwa kuanzia.

Unaandika huku umeshikilia ukuta nini?
 
Vikao vya CC-CCM kila vinapoanza huwa tunatupiwa picha,mbona leo hakuna.Inawezekana hakijaanza.
 
Kweli JF imetoka mbali...na imeanza kuzeeka. Back in the days, tungeshuhudia chanzo cha kuaminika kikitiririka live&direct from Dodoma. We have now resorted to speculations due to absence of such reliable sources
 
Wahakikishe fisadi lowassa haingii kwenye kinyang'anyiro cha urais.
 
Magazetini, @VUTA NIKUVUTE, wamepotelea wapi jua linakuchwa hili
 
Last edited by a moderator:
Watu wamekaa wakisubiri mkombozi wa ccm afukuzwe.mnadhani nani ataipa ccm ushindi zaidi ya lowassa???
 
Ulinganifu wa wako ni wakishamba mno otherwise umeamua kuufumbia macho ukweli LOWASSA na Shibuda hizi ni nguvu mbili tofauti kabisaaaaaa ni sawa na kuulinganisha MLIMA KILIMANJARO na Kichuguu.
 
Wakuu,
Mwenye updates ya kikao kinachoendelea watupe tufahamu mbivu na mbichi leo.
 
Lowassa kapata wapi utajiri mkubwa namna hii.mpaka sasa ameshatumia mabilioni ya fedha kwa viongozi wa dini pamoja na watanzania wenye njaa kuwashawishi wamsapoti katika harakati zake za kuingia ikulu.je huyu mtu ana malengo gani pale ikulu na kwanini atumie fedha nyingi kiasi hiki ili tu awe raisi wa nchi hii.? Jamani watanzania tukumbuke maneno ya mwalimu Nyerere mtu anayetumia fedha kwenda ikulu ni wa kumuogopa kama ukoma.mtajuta nawaambia haya asiyesikia la mkuu.....
 
Back
Top Bottom