Sodium
JF-Expert Member
- Feb 14, 2014
- 754
- 405
Sasa Magamba sijui wataimbiwa na nani!!!!?
Diamond ataimba.
Sasa Magamba sijui wataimbiwa na nani!!!!?
Wakuu
Mwenye updates ya kikao kinachoendelea watupe.tufaham mbivu na mbichi leo
​mkuu kwa hiyo hitakua kama kumsukuma mlevi?
Nakushangaa Sana badala ya kujibu hoja unaanza matusi jaribu kuwa na ustaarabu.We mwenyewe ukoma.ndondocha wewe kama huji kutafuta fweza ni juu yako wenzio wanapiga kaz.acha kuishi kwa kucheza bao
Aliiba nini mkuu?
Hoja gani kuni wewe kazi kusengenya wenzio chapa kazi upate hela kama lowasa.nyamaafuNakushangaa Sana badala ya kujibu hoja unaanza matusi jaribu kuwa na ustaarabu.
RED: Mkuu tufafanulie...!mzee wa msituni kaingia chaka la milele...chezea joka la mdimu ww
Mbona alishasema kuwa hakuna kilichofanyika juu ya Richmond bila Rais kufahamu!!!