Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 667
- 798
Serikali ya Tanzania imechuka karibu miezi minane kufanya hivyo, Je, tumekiuka Mkataba?Serikali za nchi mbili ndani ya siku 30 baada ya kusainiwa unahalalisha bindingness under international law.
Kila mhusika kwa taratibu zake na sheria za ndani ufanye ratification ili uwe na hadhi ya sheria za kimataifa Na ndio sababu ya IGA kupelekwa Bungeni. Na ndio maana mbele yenu kunamalalamiko ya namna IGA ilivyoridhiwa.
Tatizo ni kwanba Dubai Ports World haijapeleka IGA bungeni kwao? au kwenye mihimili inayoridhia. Treaties za Nchi husika, na hata kama wamefanya hivyo, Inapatikana wapi hilo Azimio lao la Kuridhia mkataba?
Kwa hiyo there is aBaada ya kusema hayo, hoja yangu ni kwamba IGA ni Mkataba wa kimataifa uliopitia mchakato wa 63[3]e ya KATIBA
consensus ni Mkataba?