Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
[h=5]Mpaka sasa.
Kagera Sugar 1 - 0 Toto Africans.
Dakika 20[/h]
 
Mgambo wameagizwa na halmashauri ya manispaa kutoa watu wanaokaa mabondeni, sasa nyie Yanga pale Twiga na Jangwani mtabaki kweli.
 
Leo Yanga tumeelemewa sana. Sijui kama tutapona kwa wale madogo wa Simba
 
Dakika ya 42, Mgambo Shooting wanapata bao la kwanza Mgambo Shooting 1 - 0 Young Africans
 
Inabidi mfanye juu chini Haruna Niyonzima aingie la sivyo mtawapa nguvu Azam, sisi tupo tupo tu msimu huu.
 
Kipindi cha pili cha mchezo kimeanza, Mgambo Shooting 1 - 0 Young Africans
 
Back
Top Bottom