Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Mgambo leo wakijiamini na wakajipanga vizuri wanaweza kufanya maajabu, na wakapata pointi ktk mechi hii ya leo. Ukiangalia msimamo wa ligi kuu kwa sasa, mechi hii ya leo,wanatafuta vitu viwili: pointi na kuweka heshima, kwa kuwapa raha wana Tanga.Bilashaka Mgambo watarusha makombora na madalagu yao yote kuhakikisha ngwe ya leo inawapatia ushindi ili kuwa salama.Pia shangwe na nderemo wanazopata kutoka kwa mashabiki wao wa soka jijini Tanga kila wanaposhusha daluga zao dimbani inaweza kusaidia kupata pointi tatu muhimu."Hawa jamaa hawana utofauti kati yao na Coastal union, wote wanashangiliwa kwa nguvu sawa kitendo kinachoonesha uzalendo miongoni mwa wana Tanga", ¡°waja leo waondoka leo¡±, Mara nyingi uwawamoja pale timu za Mkoa wao zinapokutana na timu za nje ya mkoa huo, wachezaji ucheza kwa kujituma wakitambua kuwa wanawakilisha wana Tanga.Kwahiyo leo tutegemee mijalamba ya kufa na kupona mtu pale Mkwakwani.
 
Nikumbushe matokeo ya COASTAL vs YANGA Raundi ya kwanza pale Tanga.
Ndo kitachotokea leo.

DAIMA MBELE, NYUMA------
 
Mwananchi: "mechi za ligi kuu TZ Bara leo"

Vinara wa Ligi Kuu, Yanga watashuka kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga kuikabili JKT Mgambo kwa lengo moja tu la kupata pointi tatu muhimu katika mbio zake za kusaka ubingwa.
Hatua kubwa ya kwanza waliyoifanya Yanga kuelekea kurejesha taji Jangwani ni kumpoteza kwenye mbio za ubingwa hasimu wake mkubwa, Simba ambaye sasa anashika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi.
Jumamosi iliyopita, mabingwa hao ‘watarajiwa’ msimu huu waliwashushia kipigo kinene maafande wa JKT Oljoro kwa kuinyoa mabao 3-0 na kufikisha pointi 52, ambazo Simba hata wakifurukuta vipi hawawezi kuzifikia.
Hofu kubwa kwa Yanga inaweza kuwa kwa wapinzani wao kwenye mbizo hizo, Azam FC inayoshika nafasi ya pili kwa kuwa na pointi 47, pia wakiwa mbele kwa mchezo mmoja.
Yanga ikifanikiwa kuibuka kidedea leo itafikisha pointi 55, ambazo zinaweza kufikiwa na Azam pekee, lakini kwa kuomba Wanajangwani hao wapoteze mechi zao zilizobaki.
Wekundu wa Msimbazi, Simba wakonafasi ya nne baada ya kukusanya pointi 36, ambapo siyo tu wamepotea kwenye mbio za ubingwa msimu huu, bali hata nafasi ya pili kwao ni majaliwa kwa vile mbali ya kuwamo katika uwezekano wa kutwaliwa na Azam pia inatolewa udenda na Kagera Sugar iliyoko nafasi ya tatu ikiwa na pointi 37. Mgambo walio katika nafasi ya 10 kwenye msimamo wakiwa na pointi 24, watashuka dimbani kwa lengo la kulipa kiasi baada ya kuhujumiwa mabao 2-0 katika pambano la kwanza lililoamriwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Wapiganaji hao pia wataingia uwanjani kwa lengo la kusaka ushindi ili kujiweka mbali na janga la kushuka daraja msimu huu.
Kocha wa Yanga, Ernest Brandts mara baada ya mchezo dhidi ya Oljoro alisema kikosi chake kiko imara kwa sasa baada ya kukipa mafunzo ya zaidi ya wiki moja ya namna ya kufunga.
Mafunzo hayo yalizaa matunda kwenye mchezo dhidi ya Oljoro, kwani baada ya kufululiza na ushindi kiduchu wa bao moja kwa mechi kadhaa, waliibuka na ushindi mzuri kwenye mechi dhidi ya Oljoro.
Ligi hiyo iliyofikia hatua ya lala salama pia itashuhudia Kagera Sugar ikiwa nyumbani kwenye Uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba kukwaana na wanyonge Toto Africans wanaokamata nafasi ya 11 wakiwa na pointi 22.
Uwanja wa Manungu ulioko Turiani mkoani Morogoro, wenye uwezo wakuchukua watazamaji 4,000 utakuwa mwenyeji wa mechi kati ya Mtibwa Sugar yenye pointi 33 na Oljoro JKT yenye pointi 28.
Wakati huohuo; Jana Coastal Union ililazimishwa suruhu na JKT Ruvu kwenye Mkwakwani.

CHANZO: MWANANCHI
 
vipi wana JF mlioko jijini Tanga mbona hamuoneshi ushirikiano,
tunawategemea mtupe live updates toka uwanjani
 
... Walioko Tanga, tafadhari tunaomba... UPDATE,
kwa mjibu wa KISS FM mtanange umekwishaanza.
 
toka juzi yanga wapo tanga gemu ishachezwa hii hakuna laziada hapo zaidi ni kumalizia msimu tu tuangalie msimu ujao..

#VodacomLigikuuTanzania

Ile ni kwa sababu za usalama. Last time tumeenda Tanga Simba walituvizia pale Kabuku wakapiga mawe basi letu zuri zuri na kumjeruhi Msuva. This time wameshtukia tu tupo Tanga. Labda watupige siku ya kurudi.
 
TBC TAIFA wako hewani moja kwa moja toka mkwakwani TANGA.
Dakika ya sita MGAMBO JKT 0-O YANGA.
 
vipi wana JF mlioko jijini Tanga mbona hamuoneshi ushirikiano,
tunawategemea mtupe live updates toka uwanjani

...LIVE Update' tafadhari
kwa WADAU walioko Mkwakwani:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
- Wabheja Sana
- Abdulhalim
- paradiso
- alexnoty
- MANDIETA
- NGANU
- Zamaulid
- Mkirua
- figganigga
- twende kazi
- ndetichia
- myhem
- banizle
- banizle
- TIQO
- malema 1989
- Rogie
- Sangomwile
- banizle
- Greeno
- jong afrikaanse
- Katavi
- ndomyana
- Remote
- idawa
- Lambardi
- ndomyana
- Andrew abel
- Fofader
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani, tafadhari tupe yanayoijiri huko Tanga!
 
Ile ni kwa sababu za usalama. Last time tumeenda Tanga Simba walituvizia pale Kabuku wakapiga mawe basi letu zuri zuri na kumjeruhi Msuva. This time wameshtukia tu tupo Tanga. Labda watupige siku ya kurudi.

aiseee kazi kweli ushabiki wa kulwa na doto lazima sababu ziwepo..
 
... Walioko Tanga, tafadhari tunaomba... UPDATE,
kwa mjibu wa KISS FM mtanange umekwishaanza.

Mkuu mtanange tayari ila tatizo uwanja kuna dalili ukatucheleweshea ubingwa
 
Mpaka sasa dk.11 zimeyoyoma kipindi cha kwanza si Mgambo wala Yanga walio ona lango
 
...LIVE Update' tafadhari
kwa WADAU walioko Mkwakwani:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
- Wabheja Sana
- Abdulhalim
- paradiso
- alexnoty
- MANDIETA
- NGANU
- Zamaulid
- Mkirua
- figganigga
- twende kazi
- ndetichia
- myhem
- banizle
- banizle
- TIQO
- malema 1989
- Rogie
- Sangomwile
- banizle
- Greeno
- jong afrikaanse
- Katavi
- ndomyana
- Remote
- idawa
- Lambardi
- ndomyana
- Andrew abel
- Fofader
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani, tafadhari tupe yanayoijiri huko Tanga!

... Duh! wadau wetu vipi leo!
Labda jukwaa la pili huko? Akina:
- Gamaha
- christmas
- brave one
- bemg
- Masuke
- PrN-kazi
- kelao
- Cynic
- KYALOSANGI
- Crashwise
- Omonto
- rmashauri
- bemg
- Mkolokotiatanas
- jambia
- Busurwa
- kmbwembwe
- yegella
- aduwilly
- Lyagwa
- Mzee wa Rula
Na wadau wote...
 
wakuu acheni kuzingua,mlioko Tanga tupeni kikosi kamili cha Yanga kilichoanza leo
 
...LIVE Update' tafadhari
kwa WADAU walioko Mkwakwani:
- Makoye Matale
- Ruttashobolwa
- obwato
- Ulimakafu
- namanyele
- Haliali
- Anselm
- Balantanda
- Wabheja Sana
- Abdulhalim
- paradiso
- alexnoty
- MANDIETA
- NGANU
- Zamaulid
- Mkirua
- figganigga
- twende kazi
- ndetichia
- myhem
- banizle
- banizle
- TIQO
- malema 1989
- Rogie
- Sangomwile
- banizle
- Greeno
- jong afrikaanse
- Katavi
- ndomyana
- Remote
- idawa
- Lambardi
- ndomyana
- Andrew abel
- Fofader
- na
wengine wote' wanazi wakubwa wa
Jangwani, tafadhari tupe yanayoijiri huko Tanga!

fuatilia na hii hapa page http://www.facebook.com/tufurahi?ref=ts&fref=ts na hii pia https://twitter.com/Yanga1935
 
Back
Top Bottom