fuatilia na hii hapa page http://www.facebook.com/tufurahi?ref=ts&fref=ts na hii pia https://twitter.com/Yanga1935
wakuu acheni kuzingua,mlioko Tanga tupeni kikosi kamili cha Yanga kilichoanza leo
[h=5]Here's Young Africans line-up to face Mgambo Shooting today:
1.Ally Mustafa 'Barthez'
2.Mbuyu Twite
3.Oscar Joshua
4.Nadir Haroub 'Cannavaro'
5.Kelvin Yondani
6.Athuman Idd 'Chuji'
7.Saimon Msuva
8.Frank Domayo
9.Hamis Kiiza
10.Nizar Khalfani
11.David Luhende
Subs:
1.Said Mohamed
2.Shadrack Nsajigwa
3.Nurdin Bakari
4.Salum Telela
5.Haruna Niyonzima
6.Said Bahanuzi
7.Jerson Tegete[/h]
aiseee kazi kweli ushabiki wa kulwa na doto lazima sababu ziwepo..
Kuna umuhimu wa kumwezesha MANDIETA kusafiri kila yanga inapocheza ili kutupa full updates.
dakika 21 mgambo 0-0 yanga.
... Duh! wadau wetu vipi leo!
Labda jukwaa la pili huko? Akina:
- Gamaha
- christmas
- brave one
- bemg
- Masuke
- PrN-kazi
- kelao
- Cynic
- KYALOSANGI
- Crashwise
- Omonto
- rmashauri
- bemg
- Mkolokotiatanas
- jambia
- Busurwa
- kmbwembwe
- yegella
- aduwilly
- Lyagwa
- Mzee wa Rula
Na wadau wote...
Leo mgambo wamebana sana
naona kijasho kinakutoka kiaina nini..