Wababe wetu Villa squad leo wamekiona cha moto, JkT Ruvu nao wamefungwa magoli mawili na Coastal union, Ruvu shooting wammepiga goli moja Oljoro, Kagera sugar na Moro united sare ya mbili mbili.
Ligi kuu ya soka ya Tanzania bara inaendelea tena leo kwenye viwanja tatu.
SIMBA na Kagera Sugar uwanja wa Chamazi.
JKT Oljoro na TOTO AFRIKA uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha
Coastal Union na AZAM FC uwanja wa Mkwakwani mkoani Tanga.
Je wekundu wa msimbazi wataendelea kuongoza ligi baada ya kuwasasabua Kiyovu huku mtani wake akiangukia pua....
Vibaya sana sijui leo wataambulia nini zidi ya wacho Toto Afrika...Vipi Kesho mtatoka zidi ya vija wanao tisha sana kwasasa vija wa Julio...nilimsikia jana anasema Mungu hawezi akawa kila kitu ahalu wao akawanyima hata ushindi..Uwanja mnao, Pesa mnazo.....hahahah