kila mara simba inakosa penalti....kocha afanyie kzai[/QUOT
kweli mkuu afanyie kazi mwaka jana emanuel Okwi alitukosesha goli la penati KUPATA UCHAPIONS
Safi sana. We are back (baada ya draw 2 za ugenini). Tuwaunge marafiki zetu Coastal U kwa hali na mali kesho waishughulikie Yanga (kama walivyotufanyizia kwenye mechi ya Toto)