Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
sasa kama sunzu kaumia sana mechi yetu na mtibwa tuna kazi kubwa..
sunzu anaweza kuwa nje kwa muda wa siku 60,hapo simba hana tena mfungaji,sunzu kwa simba nikama messi kwa barca.
 
Moro 1 na JKT Ruvu 1, Polisi 1: Mtibwa 1..African Lyon 0 : Ruvu Shooting 2..Kagera sugar 1 : JKT Oljro 2
 
Wandugu, tunaomba updates za Simba v/s Mtibwa kwa walio uwanjani au wenye radio inayotangaza.

Natanguliza shukrani.
 
SIMBA kanyaga twende! Ile timu ya Magamba inaanza kufufuka lakini wasidhani kilasiku ni j3.Ya mwaka jana sahau. SIMBA TAIFA KUBWAAA!
 
Kama inawezekana tutajie list ya Simba.
Kaseja, Chollo, Juma Jabu, Nyoso, Victor Costa, Jerry Santo, Uhuru Seleman/Ulimboka Mwakingwe, Amri Kiemba, Shomari Kapombe, Gervais Kago na Emmanuel Okwi.
 
SIMBA kanyaga twende! Ile timu ya Magamba inaanza kufufuka lakini wasidhani kilasiku ni j3.Ya mwaka jana sahau. SIMBA TAIFA KUBWAAA!

Hao watani zetu walikuwa wanafadhiliwa na pesa ya ufisadi naona laana ya Watanzania imekula kwao. Na bado, ... mwaka huu hadi washuke daraja!
 
Anatoka Kiemba anaingia Haruna Moshi, Kago naye anatoka anaingia Shija Mkina.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…