Aisee tunakwenda na mwendo wa moja moja tu, vipi timu yetu haijakaa vizuri bado!?

timu yenu kama hajikaa vizuri stage hii, mnategemea kufika kokote kweli msimu huu? maana huwa mna-collapse (kama arsenal vile) ligi inavyoelekea ukingon!!

wenzenu yanga wamezoea kuwa slow starters miaka yote (kama mani yu vile) lakini wana-end up kuwa machampioni!
Yanga ni kama CCM tu tajiri wao amejitoa hawana uwezo wa soka tena maana walikuwa wanashinda kwa kubebwa na waamuzi.Leo wasipokomaa watarudi mkianiKipindi cha kwanza kimeisha Yanga 1-1 African Lyon.

tuwekee line-up kwa timu zote nazo tuzijadili jamani:
Kipindi cha kwanza kimeisha Yanga 1-1 African Lyon.

Simba wana ihujumu Yanga ishuke daraja

Nasikia Yanga wamepata gori la pili, washukuru Mungu vingenevyo......
Baada ya kuingi Kenneth Asamoh na Rashid Gumbo yanga wameonekana kuamka.....

waangalie lisije kusawazishwa wakabaki kushkana uchawi

Baada ya kuingi Kenneth Asamoh na Rashid Gumbo yanga wameonekana kuamka.....
Leo watashinda....

nawahurumia

Nasikia Yanga wamepata gori la pili, washukuru Mungu vingenevyo......
Athante yethu tumethinda, wabaya watu bwana, wametuombea mabaya wameshindwa. yanga oyeee, chako chako tu hata kama kibaya!