sasa ni kipindi cha pili, je wekundu wa msimbazi wanaendeleaje huko tanga wanasimba wenzangu. Yanga msichukie kama anaongoza ama vipi nijulisheni tu kwani hayo ni mambo ya uwanjani tu.
<br />
<br />
Naona wameanza kuzinduka, baada ya kufungwa mechi tano mfululizo leo wametoa draw mechi inayofuata wanaweza kushinda hongera watani yebo yebo.