Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
kutoka Arusha,

dk 41

JKT Oljoro 0-0 Yanga SC
 
Bingwa wa mwaka huu ni Azam FC...

Mengine ni kukamilisha ratiba tu...

Wengine tujipange kwa msimu ujao...

Hongereni Azam FC..Mnastahili kuwa mabingwa wa VPL 2013/2014
 
Mbeya City 0-1 Azam FC,

JKT Oljoro 0-0 Yanga SC, "HT"

Ashanti Utd 1-0 Simba SC "HT"
 
Mbona inavyoonekana kama watu wa mbeya mmekubali hii gemu mfungwe tu! au kuna kitu kimejifinya kati yenu na azam?

mbona inajulikana mkuu jamaa ------------ basi na kila mchezaji amevuta cha kutosha
 
Back
Top Bottom