Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 76,271
- 108,268
Mbeya city wanakosakosa hapa
Wasiishie kukosa tu...chapa hao lambalamba ubingwa uamuliwe mechi za mwisho
Mbeya city wanakosakosa hapa
huyo refa asilete usengelenyuma
Reea mpe kadi huyo mnyakyusa anashika shika ili iweje.
Kwahali ilivo hapa hawatoki leoKazi ipo,go MCC go
Yanga hivi wako nafasi ya ngapi?
wapigwe tuuuuSimba wapo nyuma kwa goli 1
huyu ndio nani tena?
Simba yuko nyuma kwa goli 1
Yaani pale mbele kuna kipre,boko haram,na mwaikimbanho halafu pasi za hatari toka kwa sure boy yaani haponi mtu wala mmasai.
Walioko benchi ni wazuri kuliko wanaoanza!