ACCOUNT FULL
JF-Expert Member
- Sep 24, 2012
- 1,995
- 389
Haina shida, kombe litarudi nyumbani msimu ujao.
mwaikimba kafunga na mechi ni mapumziko hawa mcc wanamzonga refa!
Gooooooooo, Mwaikimba anaipatia Azam bao la kwanza na ni half time!!!!!!
Sababu za kumzonga?
Isije ikawa kala mlungula
Mkuu hii ni rushwa liveKama ndio rushwa mpira wa kibongo hautaendelea vyeema
Ngapi ngapi wakuu?
Mkuu wameweza ila uchezeshaji mbovu an apa uwanjani