MCC mmewapa Shilingi ngapi hadi mjihakikishie ushindi nje ya uwanja?
kocha wa mbeya city tumemuahidi kumpa nyumba tukishinda hii mechi.. azam ubingwa ni lazima
MCC mmewapa Shilingi ngapi hadi mjihakikishie ushindi nje ya uwanja?
ni mchezo tu hatuongi muzee ni mpira tu sasa hivi tupo vizuri..MCC mmewapa Shilingi ngapi hadi mjihakikishie ushindi nje ya uwanja?
mbeya city tumeshawalegeza. leo azam tunachukua ubingwa
kocha wa mbeya city tumemuahidi kumpa nyumba tukishinda hii mechi.. azam ubingwa ni lazima
MCC mmewapa Shilingi ngapi hadi mjihakikishie ushindi nje ya uwanja?
Haaa haaa ! Nimewaona vijana wa Mbeya city wakifanya mazoezi asubuhi hii , wanaonyesha wana kils hali ta ushindi leo ,
tupo poa kote kote mkuu...Yaani pale mbele kuna kipre,boko haram,na mwaikimbanho halafu pasi za hatari toka kwa sure boy yaani haponi mtu wala mmasai.
Walioko benchi ni wazuri kuliko wanaoanza!
Kaunda Stadium.. nyumbani kwa wazee wa Antalya/Uturuki.
Chamazi, Azam kweli wana viwango vya kuwa mabingwa.
mkuu naona una mzuka vbaya sana na ubingwa!kikosi tayari nishatupia go go azam fc...
Mbona inavyoonekana kama watu wa mbeya mmekubali hii gemu mfungwe tu! au kuna kitu kimejifinya kati yenu na azam?Sawa ni sehemu ya matokeo wanambeya tunachohitaji ni burudani
Wamesema leo watahamisha viti hamsini tu wavipeleke Bunju stadium. Mikia bhaaana....Leo sijui mikia wataharibu nini uwanja wa taifa.
man ifike kipindi tukubaliane na ukweli azam wapo poaMbona inavyoonekana kama watu wa mbeya mmekubali hii gemu mfungwe tu! au kuna kitu kimejifinya kati yenu na azam?