Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
dk 41, kipindi cha 2;


JKT RUVU 1-5 YANGA
 
dk 43, kipindi cha 2;


JKT RUVU 1-5 YANGA
 
dk 45, kipindi cha 2;


JKT RUVU 1-5 YANGA
 
Full time;


jkt ruvu 1-5 yanga


mpira umekwisha.
==============
 
Wachezaji wenye sifa ya kuchezea yanga wliopo kikosini kwa sasa ni 15 tuu!hi ni kauli ya kocha mkuu wa Yanga.
 
Leo nimeshiba yule mdudu mwenye magonjwa 99 ili nije nishangilie jkt ruvu,wanapigwa mengi hivi.!

Kucheleweshana tu ubingwa arghhgg
 
Kwani JKT Ruvu hapo uwanjani mmeaimama wakati Yanga tunacheza? Hahaaaaaaa, wewe Daudi1 umekimbia wewe nilijua tu.
Nipo tu naangalia mlivyomuokota kibonde huyo najua kwa furaha uliyonayo leo nitapata bila shida maana wiki iliyopita ulinibania eti kisa mgambo
 
Back
Top Bottom