ndetichia
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 27,769
- 6,585
Kutoka kwa mdau wa soka.. LKT fb group..
Kumbe Yanga akifungwa leo na Kagera sukari na Azam fc akimfunga Ruvu Shooting ligi ndio itakua ishapata bingwa mpya wa 2013/14 ambao ni Azam fc...........................ooooppsnimesahau kumbe bado kuna zile points 3 za mezani zinapangiwa muda muafaka wa hukumu kama ilivyomtokea MWADUI ya Julio................heheheheheh