Tenga la nyanya au la maembe?
ya yanga na mgambo
Tenga la nyanya au la maembe?
Yanga walipofunga tu SSc wanaachia?!
Asante.1. Juma Kaseja -29
2. Mbuyu Twite - 6
3. Oscar Joshua - 4
4. Nadir Haroub "Cannavaro" -23
5. Kelvin Yondani -6
6. Frank Domayo -18
7. Saimon Msuva - 27
8. Hassan Dilunga -26
9. Didier Kavumbagu - 7
10. Mrisho Ngasa 17
11. Emmanuel Okwi -25
Subs:
1. Ally Mustapha "Barthez" -1
2. Juma Abdul -12
3. David Luhende -3
4. Athumani Idd "Chuji" - 24
5. Nizar Khalfan -16
6. Hamisi Kizza - 20
7. Hussein Javu - 21
sio kidogo wanabebwa sana
simba tumepakatwa
dk 62 azam 2 - 1 simba
Simba kapigwa la 2
du kweli leo hali imetukalia vibaya!!Mgambo wanapata penalt, kelvin yondan kamshika mtu kwenye box.
Poa tu, cha muhimu pointi tatu zipatikane, full stop.