Tawi gani tena Mkuu? Hukumbuki Mambumbu SC walichukua ubingwa baada ya Prisons kuibana Yanga huko Mbeya na kule Tanga Mtibwa akilala mbele ya Coastal Union? Acha mpira uchezwe uwanjani.
Team Today AISHI SALUM ERASTO NYONI GADIEL MICHAEL DAVID MWANTIKA AGGREY MORIS MICHAEL BOLOU HIMID MAO SALUM ABUBAKAR GAUDENCE MWAIKIMBA JOHN BOCCO KIPRE TCHETCHE SUBS MWADINI ALI WAZIRI SALUM LUCKSON KAKOLAKI KELVIN FRIDAY BRAISON RAFAEL MUDATHIR YAHYA BRYAN UMONY
Kikosi cha Tz Prisons FC kinachoanza dhidi ya YANGA.... 1. Beno kakolanya -18 2. Salum kimenya -14 3. Laurean Mpalile -5 4. Nurdin Chona -28 5. Lugano Mwangama -16(c) 6. Jumanne Elfadhili -4 7. Fred Chudu -12 8. Omega Seme -8 9. Peter Michael -21 10. Frank william -17 11.Godfrey Mageta -22 SUBS; 1. Jamal Salum -30 2. Six Mwasekaga -15 3. Boni Hau -3 4. Jimmy Shoji -6 5. Henry Mwalugala -9 6. Brayson Mponzi -29 7. Ibrahimu Mamba -11 8. Adam Chipongwe -25 COACH: David Mwamwaja 1 hour ago 10· Unli
Ni huu huu hata mimi nilishawahi kumkataza.Hivi uandishi ambao nilikukataza ni huu au mwingine!?
Leo ligi kuu ya vodacom inaendelea uku macho na masikio yakiwa uwanja wa Taifa pale Yanga (mabingwa watetezi) itakapo pambana na Prison ya Mbeya (wajelajela) huko Tanga Wanajeshi wa JKT Mgambo ya Handeni wataikalibisha Azam FC vinara wa ligi.
Hata mimi namshangaa.Ulipokimbilia kuanzisha uzi ulitegemea nani aweke updates?
Ulipokimbilia kuanzisha uzi ulitegemea nani aweke updates?
na wauza sembe wa chamazi wkowapi?Kandambili wameukimbia uzi wao!
Hapo kwenye nyekundu ilikuwa ile timu ya Magomeni iliyokuwa inamilikiwa na Mh. Iddi Azzan, ilikuwa inaitwa Twiga sikumbuki vizuri
hapo kwenye red ulikuwa unamaanisha mchezo?Dakika ya 18 bado hawajafungana Yanga na Prison, mchezaji bado haujachangamka.