Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Kuna mtu mtaani kwetu anaumwa saa hii. Hotuba ya katiba:tape: Arsenal 6:tape: Na leo Simbwa:tape: Sasa hivi roho inafanya:flypig:
 
Hawa CU siwaelewi kabisa, walimbania Yanga wakatoa kwa Azam tena kwa kishindo. Leo tena wanagoma kutoa kwa Simba, sijui wana maana gani. Huenda walichukua chao kutoka kwa Azam.

nilisikia walichukua mpunga kwa wazee wa lamba lamba
 
Toka Mtukanwe mna mwenyekiti wenu hata timu mmeisusa.

Nimeamua kuwaanzishia uzi huu.

walioko uwanjani mtujuze,pia mnaosikiliza Tbc Taifa.

tunaomba mtujuze matokeo ya mwisho ya match zote mbili. Azam vs Oljoro & Simba vs Coastal Union
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…