Shit!!!!!
Mkuu Mwera usifate updates ya huyu jamaa maana naona ule ugonjwa wa "LIBOLO PLUS PLUS" unaosababishwa na virus aina ya "RAGE"unamsumbua.Mpaka sasa ni karibu dk ya 80 Simba0-1Coastal union.
Mkuu Crashwise bila shaka naona unaliwa SIFURI SABA MOJA TATU, sasa utamu umekukolea mpaka unaandika mambo ya ajabu, kwani jamaa ameshakupiga viwili mpaka sasa