Vp mkuu ndomyana nakuona hapa JF,au upo Mbeya kama kawaida yako?
Makoye Matale,,vipi kuhusu viti?Hawajaanza hao tabia zao?Dak. 47 SSC 0-1 CU
gooooo Simba 2..
Hii ni nzuri ikienda hadi mwisho.
gooooo Simba 2..
ni hamis Tamwe..
teh teh wakati mtu anakufa..
Mnachanganya bhana toeni update za kweli
wakuu updates za chamazi ni muhimu, wapi Ndetichia?
Makoye Matale,,vipi kuhusu viti?Hawajaanza hao tabia zao?
kamanda hii Simba mbona kama kuna mtu anaitumia kutuvuruga