Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .

Hapa unakosea ndugu, Kwanini uichukie Yanga?? Walikuibia mke?? Yanga na Simba sio maadui, ni watani wa jadi, kuchukia timu pinzani sio ushabiki wa kweli ktk soka. Badilika
 
Ivunga bwana! Heheheheh nadhani na wewe unatamani Simba wafunge mtu 6 . . . .teh teh teh. Anyway kuanzia mechi za wabrazil, mapinduzi cup kurudi nyuma kote huko Crashwise hakutangaza kabisa magoli, so siwezi kumuuliza chochote.
labda siyo mfatiliaji wa jukwaa la michezo ya kibongo huwa nipo sana mkuu...
 
Leo ni Simba na Azam FC

Kikosi cha AZAM FC

Kikosi cha Wekundu wa Msimbazi
 
azam wanapata goli la kusawazisha mfungaji john boko
 
ngasa anawanyanyu mashabiki wa azam, azam 2 simba 1
 
Thankx mkuu, ninependa kuona siku utawala wa Yanga na simba Tanzania unatokomea kama utawala wa KANU pale Kenya au CCM hapa TZ
mimi ni mpenzi wa wa timu hizi, hivyo nitahuzunika sana kama simba itapoteza mechi hii
 
John Boko anaipatia Azam goli la 3.... daaaaaaaah hii noma sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…