Sangomwile
JF-Expert Member
- Aug 17, 2012
- 3,227
- 1,104
nyoni ni pimbi sana..
Amefanyaje mkuu?
nyoni ni pimbi sana..
Nyoni kapewa red sijui kafanyanye,ngasa anaingia kuchukua nafasi ya didie kavumbagu
hivi mkuu bado upo simba au ulihamana na OKWI!maana BOBAN na SUNZU hawapo simba tena!!Kuba bake Azam noma,
Kuba bake Azam noma,
Dakika ya ngapi ?
matokeo vp? dk ya ngapi?
sijui wamekata matangazo!!maana updates haziji!Dakika ya ngapi ?
mkuu wanaoripoti leo hovyo sana,hawaeleweki kabisa.