VOICE OF MTWARA
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 3,099
- 2,209
Mungu ibariki yanga
Mungu ibariki yanga
huyo okwi duu ni hatari..
anasumbua kweli ni bora useme kuliko kunung'unika..Muda wote mnalalamika Okwi anawatesa kwani nyie hamna Okwi wenu, Hivi kwa nini Aggrey Morris hajaanza?
nimeupenda ujasiri na imani yako!hii gemu tutashinda tu..
anasumbua kweli ni bora useme kuliko kunung'unika..