The Magnificent
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 2,694
- 1,250
hao ccm hawajapigwa tuu?
hao ccm hawajapigwa tuu?
dk 41 yanga 1 - 0 azam
Asanteni sana Deo Corleone, ndetichia kwa updates nzuri sana mi nawatakia Azam ushindi wa mabao 2 kwa moja. Yanga warudi jangwani wakaandamane kudai uwanja.
Mods sijui vipi yaani nimehangaika kuipata ile thread kumbe waliunganisha.Mods sijui kwa nini meunganisha thread ya mwanzo huku...
Hii sticky thread ingeachwa kwa taarifa muhimu tu za muenendo wa VPL...
Mods sijui kwa nini meunganisha thread ya mwanzo huku...
Hii sticky thread ingeachwa kwa taarifa muhimu tu za muenendo wa VPL...
Dua la kuku...hizo updates za deo za kinazii. Yanga raha