Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

Updates: VodaCom Premier League 2009/2010

TIMU GANI ITAKUWA BINGWA WA LIGI KUU TANZANIA BARA(Vodacom Premier League)


  • Total voters
    72
  • Poll closed .
Hapa ndio kuna umuhimu wa Mods kufanya kazi zao..., either kufuta huu upotoshaji au kuhamishia hii post jukwaa la jokes
 
Simuoni MANDIETA simuoni MAKOYE MATALE wala ACOUNT FULL hii inamaanisha kua wanajua kitakacho tokea hapo Uwanja wa TAIFA hivyo wameamua kujificha kuepukana na haibu hiyo.

Hatuna mpinzani baada ya Mtani kujichokea, ligi haina utamu tena.
 
Yeyote Atakayeshinda Poa Tu
Lakini Nafasi Ya Pili Ya Mnyama Ipo Palepale
 
Kona kwenda upande wa yanga

kipre anagongesha mwamba hapa dah!
YELLOW CARD NYONI ERASTO
 
Back
Top Bottom