Updates: UDIWANI Mianzini Mpambano ni CCM Vs CUF

Updates: UDIWANI Mianzini Mpambano ni CCM Vs CUF

Kampeni za udiwani wa kata ya Mianzini, Mbagala wilayani Temeke zimeingia katika hatua nzuri huku vyama viwili vikionekana kupambana kikamilifu HATAHIVYO dalili zinaonyesha mgombea wa CCM mmiliki wa Scorpion Bar ataibuka kidedea kutokana na kukubalika miongoni wa wapiga kura wa eneo husika. Wakati huohuo mgombea wa CHADEMA amekata tamaa kwa vile leo ni siku ya pili hajaonekana katika kampeni. Tetesi ni kuwa ameamua kuingia mitini baada ya kutoswa na uongozi wa wilaya ambao unadai haupati ushirikiano kutoka uongozi wa Chadema mkoa na taifa. Poleni wafuasi na wakereketwa wa Chadema, jahazi linazama, njooni mliokoe!!!

Tutafutane tar. 16/06 ndugu
 
wewe ndio hujui unachokisema maana ninachokizungumzia mimi ni mkutano wa Jumapili ambapo tulikuwa kwenye viwanja tajwa.anyway sitaki kulumbana na wewe,huwa sina haja ya kulumbana na maccm
Usilumbane naye mkuu, huyo siyo size yako. Wewe unatakiwa kulumbana na baba yake
 
Duh, kwenye CSEE ya 2012 somo la Jiografia ulipata ngapi? Yaani Kigoma Kaskazini, Maswa Mashariki, Maswa Magharibi, Ubungo, Kawe, Mbeya Mjini, Iringa Mjini, Ilemela, Nyamagana, Singida, etc. vyote hivi viko Kaskazini? Au ni Kaskazini mwa Kusini, Magharibi na Mashariki mwa Tanzania? Pamoja na matokeo yenu kurekebishwa na Magamba bado uelewa wako uko kama wa kitoto cha Kindergarten!!
Umeshanielewa ila unataka kuleta ubishi tu, siku laumu maana UTOSI WAKO BADO UNADUNDA.
 
akili za watu watu wa CCM kama zimeganda....They always repeat the same shit over and over again....sijui chama cha kaskazini...chaha wangwe...slaa hivi mara vile....ruzuku siju ninii....the same shit.....haya mambo yameshidwa yote....ongeeni mambo mapya bana....tuyadiscuss nchi isonge mbele...akili zinakuwa zimeganda kwenye ishu zile zile tuu..
 
Jidanganyeni na ccm inayokufa taratibu
 
Last edited by a moderator:
Kampeni za udiwani wa kata ya Mianzini, Mbagala wilayani Temeke zimeingia katika hatua nzuri huku vyama viwili vikionekana kupambana kikamilifu HATAHIVYO dalili zinaonyesha mgombea wa CCM mmiliki wa Scorpion Bar ataibuka kidedea kutokana na kukubalika miongoni wa wapiga kura wa eneo husika. Wakati huohuo mgombea wa CHADEMA amekata tamaa kwa vile leo ni siku ya pili hajaonekana katika kampeni. Tetesi ni kuwa ameamua kuingia mitini baada ya kutoswa na uongozi wa wilaya ambao unadai haupati ushirikiano kutoka uongozi wa Chadema mkoa na taifa. Poleni wafuasi na wakereketwa wa Chadema, jahazi linazama, njooni mliokoe!!!

Mgombea wa CCM anaitwa Athuman Bawji Mbwana.

Ustadhi anamiliki BAR ?
sasa huko msikitini wanampokeaje kwenye kampeni?
Kweli waislam sisi ndio tuliwao.
 
Siwezi kuamini mtu kama Dr F. Ndugulile ame like Post Dhaifu kama hii

Nimetoa ufafanuzi kuhusu jina la mgombea wa CCM. Udhaifu wa hoja kwa kutaja jina la mgombea?
Ka kuwa tarehe 16/6 si mbali,kwanini tuandikie mate wakati wino upo? Tusubiri matokeo wala hakuna haja ya malumbano.
 
Last edited by a moderator:
Nimetoa ufafanuzi kuhusu jina la mgombea wa CCM. Udhaifu wa hoja kwa kutaja jina la mgombea?
Ka kuwa tarehe 16/6 si mbali,kwanini tuandikie mate wakati wino upo? Tusubiri matokeo wala hakuna haja ya malumbano.
Dr F. Ndugulile kwanza nikushukuru kwa kuendelea kutoa comments kwa kila kinachojitokeza kuhusu uchaguzi wa Mianzini, ambayo ni kata iliyoko katika jimbo la Kigamboni ambalo wewe ndiye mbunge. Pia nikupongeze kwa mkutano wako wa juzi ulioufanya Kibada ambao ulikuwa ni mkutano wa wananchi na si kuufanya mkutano wa ccm kama ambavyo mmekuwa mkifanya mara zote.

Jambo pekee ninalotaka kukusihi kwakuwa umeonyesha kuweka mbele utaifa badala ya uchama, waonye wanaccm wenzako waachane na kampeni zenye mrengo wa kidini, waachane na kampeni zenye chuki za kidini dhidi ya mgombea wetu. Baada ya uchaguzi wananchi wa Mianzini watabakia kuwa wale wale na maisha yao yatabakia kuwa yaleyale. Sasa ni kwanini ccm inaleta ubaguzi na chuki za kidini kwasababu tu ya udiwani???
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: Pai
Hahahahaaaaaaa. MAFILILIiiiiiiiiiiiiiii. Yani heading inaitaja ccm na mwandani wenu cuf lakini content hakuna mahali popote inapotajwa na badala yake umekitaja chama cha ukweli Chadema. Tunajua mnashirikiana na mwandani wenu kuendesha siasa za kidini mianzini lakini Chadema tuko imara na makini kukabiliana na hila zenu zote.

Kata ya Mianzini tumeshaichukua tunasubiri tu tarehe 16/06 kukabidhiwa cheti cha ushindi.
Mkuu Mwita Maranya hizi siasa za Udini ziliendeshwa sana mwaka 2010 kupitia kikwete kwenye nyumba zetu za Ibada(Misikitini) na tuliahidiwa mambo mengi sana lakini ikiwa ni pamoja na kupewa kazi lakini ulikuwa ni ujanja wa kupata kura zetu naapa haitajirudia tena hata walete maimamu toka maka
 
Last edited by a moderator:
Nimetoa ufafanuzi kuhusu jina la mgombea wa CCM. Udhaifu wa hoja kwa kutaja jina la mgombea?
Ka kuwa tarehe 16/6 si mbali,kwanini tuandikie mate wakati wino upo? Tusubiri matokeo wala hakuna haja ya malumbano.
Hizi siasa zenu za Udini hazitawafisha mbali vijana wengi tumeshashtukia msitegemee mnyooko kupitia dini kama mwaka 2010
 
mbona unatokwa na povu jingi mdomoni kichwa cha habari hakisadifu maelezo yako yaliyomo ndani
 
mbona unatokwa na povu jingi mdomoni kichwa cha habari hakisadifu maelezo yako yaliyomo ndani

Hapa ni hoja tu not mipasho and maneno ya kwenye khanga, mwelekeze alokosa ili ajitambue kwani hiyo ndo hekima ya mwelewa.
 
Back
Top Bottom