Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,242
- 10,227
Nimetoa ufafanuzi kuhusu jina la mgombea wa CCM. Udhaifu wa hoja kwa kutaja jina la mgombea?
Ka kuwa tarehe 16/6 si mbali,kwanini tuandikie mate wakati wino upo? Tusubiri matokeo wala hakuna haja ya malumbano.
Dr Ndugulile umeielewa Post yangu kweli ama umekimbilia Kunijibu tu????