Updates on mandela's health....you can follow it from here......

Updates on mandela's health....you can follow it from here......

Hali ya mzee Mandela inaendelea kuimarika.Source CNN,NEWS.
 
Nilisikiliza Taarifa ya Habari ya jana ya Radio One (saa 2 usiku na kurudiwa saa nne) kuhusu Madiba kwa kweli sikuipenda. Naamini haikuhaririwa kwa umakini unaotakikana!
 
Nelson Mandela Health Condition Improved Overnight, South African President Says

r-NELSON-MANDELA-HEALTH-large570.jpg

JOHANNESBURG -- The office of the South African president says Nelson Mandela's health improved overnight, and his condition remains critical but is now stable.
President Jacob Zuma's office said in a statement Thursday that he received the update from the medical team that is treating the 94-year-old anti-apartheid leader at a Pretoria hospital.
Zuma, who visited Mandela on Thursday, said in the statement that the former president is "much better" than when Zuma visited him on the previous night.
His office says it is disturbed by what it calls rumors about Mandela's health. Unconfirmed reports and speculation about Mandela have been swirling on social media and other forums.

slide_245844_1404859_free.jpg

slide_245844_1405040_free.jpg

slide_245844_1405484_free.jpg

slide_245844_1405639_free.jpg

slide_245844_1405640_free.jpg

slide_245844_1405859_free.jpg
 
[h=1]Mandela in SADC's prayers[/h]Thursday 27 June 2013 20:52

The SADC summit opened by first sending comfort messages to Mandela and the South African public(SABC)

Southern African Development Community (SADC) leaders meeting in the Mozambican capital Maputo have sent messages of support for President Jacob Zuma and all South Africans as the nation keeps watch over former president Nelson Mandela.

President Zuma pulled out of the Summit on Trade and Infrastructure to visit Madiba last night, as a result, this heightened speculation about Mandela's critical situation.
 
long long long live Mandela. even if you go and leave us God will put you in the highest seat in heaven
 
[h=1]Night vigil held for ailing Mandela[/h]Friday 28 June 2013 05:27

Hundreds of people have again held a candlelight vigil outside the Mediclinic heart hospital in Pretoria, where former president Nelson Mandela has spent his 20th night.
 
updates.........

[h=1]More prayers as Mandela Day looms[/h]
SABC

nelson-mandela.jpg

The ANC leadership in the Eastern Cape is expected to lead prayers for the ailing former president Nelson Mandela outside his Qunu village home in Mthatha on Tuesday.

The service will be convened at the main gate of Madiba's homestead. The party has also invited the clergy, church members and friends of the ANC to join the leadership for a second round of prayers at the Mthatha city hall later in the day.
 
MORE UPDATES>>>>>>
[h=1]Presidency update on former President Nelson Mandela[/h]04 July 2013

President Jacob Zuma this afternoon, 04 July 2013, visited former President Nelson Mandela in hospital to check on his condition.

The former President remains critical but stable. President Zuma thanked the nation and the international community for their continued support.

"We appreciate all the love and compassion. Madiba is receiving the best medical care from a multi-disciplinary team of health professionals who are at his bedside around the clock. He is well looked after." said President Zuma.

On the Mandela Month of July, President Zuma further called on all South Africans to volunteer 67 minutes of their time on Nelson Mandela Day (18 July) to help change their communities and South Africa for the better. This year's event will take place under the theme of "Take action; inspire change; make every day a Mandela Day" with a focus on food security, shelter and literacy.
 
Afya ya Mzee Mandela, imeendelea kuwa siri kiasi kwamba hali inatisha. Ukweli kwamba kaburi limekwishachimbwa unaashiria huyu mzee hatunaye tena, ama itakuwa kitu cha ajabu kwa mila na desturi za mwafrika iwapo kaburi litakuwa limechimbwa wakati Mzee akiwa hai. TUNAOMBA TU IWE KITU CHA AJABU this time acha mila za mwafrika zisimame kidogo, eh mora twakuomba.

Kuna uwezekano kuwa Mzee Mandela alikufa akiwa anapelekwa hospitali wala hakufika hosptalini akiwa hai. (kumbuka stori kuwa ambulance ilipata hitirafu, harafu fikirikwanza) Ukweli kwamba imekuwa siri na mzozo mkubwa tangua afikishwe hospitali kuhusu nani anaweza kumwona na nani hawezi, ukweli kuwa familia yake kokote iliko dunia imekwisha rejea south Africa, ukweli kuwa wajumbe wa ANC hawawkuruhusiwa kumwona, ukweli kwamba eti rafiki yake wa siku nyingi sana badala ya kumwombe swahiba yake apone, alikubali aachwe afe apumzike unaashiria kuwa Mzee this time ametutoka.

Tatizo langu sio Mzee kututoka, japo nafahamu wazi pengo lake sio pengo bali ni kinywa kizima hatuwezi replace hata kidogo, Kama ilivyo kuwa kwa Nyerere mara hii South Africa nayo imefanya hivyo hivyo kwa malengo ya usalama zaidi kuliko historia, najua kama mzee Mandela alivyokuwa muwazi asingependa mambo ya uongo uongo kwenye suala la kifo chake, lakini nyota iliyong’ara afrika na duniani sasa inazima.

Zaidi ya yote Mzee wetu katangulia, tutamkumbuka daima na milele, najua kama kuna maisha baada ya kifo watapenda wakutane na Nyerere kwa sababu moja au nyingine.

Kwa uchungu sana , tutalazimika kusema kwa heri Mandela mara itakapotangazwa rasmi, kipaji alichokujalia Mungu, hakika umekitumia kwa manufaa ya watu wote duniani, hususani waafrika ambao kwa mapenzi ya mungu huyo huyo historia ya ukoloni haitafutika.

Viva Nelson Mandela, Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Kuna makaburi yaliyochimbwa kwa ajili ya kuhamisha miili ya watoto wa Mandela waliofariki miaka ya nyuma wakazikwa katika kijiji cha Qunu alikozaliwa mzee Mandela, lakini Mjukuu wa Mandela aitwaye Mandla aliyahamisha kwa siri na kwenda kuyazika katika mji wa Zwevo karibu na hoteli yake, ili Mandela atakapofariki naye azikwe karibu na watoto wake, lengo likiwa kuvutia utalii kwa wageni kwenda kutembelea kaburi la Mandela, na hoteli pia kupata wageni wengi.

Sasa Makaburi unayoyaona ni kwamba ile Miili ya watoto wa Mandela yamerudishwa kwa Amri ya Mahakama kwenda kuzikwa katika Kijiji cha Qunu ambako ndiko atakapozikwa Mzee Mandela atakapoaga dunia.
 
Ni ujumbe wenye hisia, kwa taarifa zilivyo ni kuashiria mzee Madiba hatunaye. Ugomvi wa kifamilia uliojitokeza na unaoendelea kujitokeza, ni ishara ya wazi kuwa mzee HATUNAYE.

Dunia itamkumbuka, walimwengu tutamkumbuka, waafrika TUTAMUENZI.
 
Afya ya Mzee Mandela, imeendelea kuwa siri kiasi kwamba hali inatisha. Ukweli kwamba kaburi limekwishachimbwa unaashiria huyu mzee hatunaye tena, ama itakuwa kitu cha ajabu kwa mila na desturi za mwafrika iwapo kaburi litakuwa limechimbwa wakati Mzee akiwa hai. TUNAOMBA TU IWE KITU CHA AJABU this time acha mila za mwafrika zisimame kidogo, eh mora twakuomba.

Kuna uwezekano kuwa Mzee Mandela alikufa akiwa anapelekwa hospitali wala hakufika hosptalini akiwa hai. (kumbuka stori kuwa ambulance ilipata hitirafu, harafu fikirikwanza) Ukweli kwamba imekuwa siri na mzozo mkubwa tangua afikishwe hospitali kuhusu nani anaweza kumwona na nani hawezi, ukweli kuwa familia yake kokote iliko dunia imekwisha rejea south Africa, ukweli kuwa wajumbe wa ANC hawawkuruhusiwa kumwona, ukweli kwamba eti rafiki yake wa siku nyingi sana badala ya kumwombe swahiba yake apone, alikubali aachwe afe apumzike unaashiria kuwa Mzee this time ametutoka.

Tatizo langu sio Mzee kututoka, japo nafahamu wazi pengo lake sio pengo bali ni kinywa kizima hatuwezi replace hata kidogo, Kama ilivyo kuwa kwa Nyerere mara hii South Africa nayo imefanya hivyo hivyo kwa malengo ya usalama zaidi kuliko historia, najua kama mzee Mandela alivyokuwa muwazi asingependa mambo ya uongo uongo kwenye suala la kifo chake, lakini nyota iliyong'ara afrika na duniani sasa inazima.

Zaidi ya yote Mzee wetu katangulia, tutamkumbuka daima na milele, najua kama kuna maisha baada ya kifo watapenda wakutane na Nyerere kwa sababu moja au nyingine.

Kwa uchungu sana , tutalazimika kusema kwa heri Mandela mara itakapotangazwa rasmi, kipaji alichokujalia Mungu, hakika umekitumia kwa manufaa ya watu wote duniani, hususani waafrika ambao kwa mapenzi ya mungu huyo huyo historia ya ukoloni haitafutika.

Viva Nelson Mandela, Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

Kuamua kuchimba kaburi ni ushujaa na kuelewa kwamba hakuna binadamu ambaye amezaliwa asiyefikia tamati ya kurudia udongoni.

Nakumbuka hayati babangu mzazi aliamua kununua sanda yake angali hai akamkabidhi mama kwamba atakapo kufa wasihangaike kutafuta kwa vile ameshaiandaa. Waombolezaji hawakuamini mamangu alipowakabidhi sana hiyo amayo alidumu nayo akiwa hai kwa miaka 10. Huu ndio ushujaa wa kutoogopa kufa kwani hakuna mwenye uwezo wa kuepa kifo. lazima kufa tu kwa njia gani na lini Mungu pekee anajua.
 
Afya ya Mzee Mandela, imeendelea kuwa siri kiasi kwamba hali inatisha. Ukweli kwamba kaburi limekwishachimbwa unaashiria huyu mzee hatunaye tena, ama itakuwa kitu cha ajabu kwa mila na desturi za mwafrika iwapo kaburi litakuwa limechimbwa wakati Mzee akiwa hai. TUNAOMBA TU IWE KITU CHA AJABU this time acha mila za mwafrika zisimame kidogo, eh mora twakuomba.

Kuna uwezekano kuwa Mzee Mandela alikufa akiwa anapelekwa hospitali wala hakufika hosptalini akiwa hai. (kumbuka stori kuwa ambulance ilipata hitirafu, harafu fikirikwanza) Ukweli kwamba imekuwa siri na mzozo mkubwa tangua afikishwe hospitali kuhusu nani anaweza kumwona na nani hawezi, ukweli kuwa familia yake kokote iliko dunia imekwisha rejea south Africa, ukweli kuwa wajumbe wa ANC hawawkuruhusiwa kumwona, ukweli kwamba eti rafiki yake wa siku nyingi sana badala ya kumwombe swahiba yake apone, alikubali aachwe afe apumzike unaashiria kuwa Mzee this time ametutoka.

Tatizo langu sio Mzee kututoka, japo nafahamu wazi pengo lake sio pengo bali ni kinywa kizima hatuwezi replace hata kidogo, Kama ilivyo kuwa kwa Nyerere mara hii South Africa nayo imefanya hivyo hivyo kwa malengo ya usalama zaidi kuliko historia, najua kama mzee Mandela alivyokuwa muwazi asingependa mambo ya uongo uongo kwenye suala la kifo chake, lakini nyota iliyong'ara afrika na duniani sasa inazima.

Zaidi ya yote Mzee wetu katangulia, tutamkumbuka daima na milele, najua kama kuna maisha baada ya kifo watapenda wakutane na Nyerere kwa sababu moja au nyingine.

Kwa uchungu sana , tutalazimika kusema kwa heri Mandela mara itakapotangazwa rasmi, kipaji alichokujalia Mungu, hakika umekitumia kwa manufaa ya watu wote duniani, hususani waafrika ambao kwa mapenzi ya mungu huyo huyo historia ya ukoloni haitafutika.

Viva Nelson Mandela, Vivaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!

well....time will tell......

Next time jitahidi kuedit basi kabla ya kupost........

Wasaalam.......
 
Siku za karibuni kumetokea utata juu ya afya ya gwiji wa siasa za Afrika, mzee Madiba. Wengi waliamini kuwa amekwisha kufa hasa baada ya Rais Barak Obama aliposhindwa kumtembelea hospitalini alikolazwa.

Mgogoro wa familia ya Mandela juu ya mahali atakapozikwa umeibua mambo ya kimahakama yaliyotaka uthibitisho wa kitabibu na wa kifamilia juu ya afya ya mzee huyu. Uthibitisho wa kiapo cha kidaktari umethibitisha uhai w mzee Mandela.

Nanukuu kidogo toka kwenye gazeti la Mwananchi la leo "Kesi hiyo iliwezesha kufahamika kwa hali ya afya yake kwani kwa mara ya kwanza, ilithibitika kwamba anapumua kwa msaada wa mashine na hiyo ni kwa kujibu wa hati ya kiapo ya Makaziwe aliyoiwasilisha mahakamani katika kesi hiyo ambayo pia inasema: “Matarajio ya kifo chake yamejengwa kwenye msingi wa uhalisia.” Hati hiyo ya Juni 28, mwaka huu ambayo pia inawahusisha wanafamilia wengine akiwamo mke wa Mandela Graca Machel na mtalaka wa Mandela, Winnie inasema afya ya Mandela haitii matumaini huku ikiweka bayana kwamba hati ya kiapo ya daktari ingewasilishwa mahakamani kuthibitisha kwamba anasaidiwa na mashine kupumua."

My Take:
Tusubiri wakati wa Mungu wa kumchukua Mandela badala ya kuendeleza uzushi kuwa amekwisha kufa.
 
siku atakapoibuka na kulihutubia taifa, ndipo watu watakapojua kwamba mtu hafi mapaka mwenyezi mungu aseme kazi yako ya duniani yatosha sasa njoo huku kwenye maisha ya milele ni kuimba na kushangilia tu pamoja na malaika.
 
Back
Top Bottom