wakenya hawajaumwa chochote ila tu wanamuonea huruma,angalia obama ziara yake tz itafanya huduma za simu kufungwa,beggars na chokora kuteswa,maduka katika cbd uko kariokor kufungwa coz of usalama, kizuri ni kuwa hasafiri kwa ile mbuga ya wanyama ambako wanyama kama,simba,chui na wengineo wangepigwa risasi na kuuliwa ili wasiwe tisho kwa usalama wake ebu tafakari hayo
This is fiction young college girl.this is really serious if its true its very unafrican and they wil be cursed why do that to an old man who does not know whats happening,kindly let the old man rest in peace his time has come,na uku mashariki nasikia jiji la dar es kumesafishwa hakuna beggars au chokora naskia kila mtu ameambiwa avalie suti yake ile nzuri zaidi ili kumkaribisha bwana obama. Naskia kipindi kilichopita katika ziara ya bush simu hazikufanya kazi tanzania zilikuwa eti zimefungwa na CIA mawaziri wote ilibidi wanuswe na mbwa wa maja susi wa kimarekani mpaka rais wa tz ajabu,je mtaweza kweli haya tena kuwa kama watumwa na vibaraka wa mzungu?
Hahaha .. Looser
hahaha cute girl nairoberry mbona unakasirika haraka namna hiyo.kuwa mpole budaa.karibu buruburu.lol
Nairoberry relax! ...it is as if you have just finished 100 meter race and unfortunately you are the last in that race!!!! You need :rain: to cool down your body! First you are mixing two news but secondly and most importantly you wish Obama could visit KE! Whatever is happening or will happen during his visit I think we should be the one to complain and not you! Can you please mind your business? ....just for a seconds!!!
kenya is a super power we dont rely on visits to prosper
https://www.jamiiforums.com/international-forum/476707-kenya-a-failed-state.htmlkenya is a super power we dont rely on visits to prosper
for every hands has a looser and every hands has a winner you just wait and seekenya is a super power we dont rely on visits to prosper
https://www.jamiiforums.com/international-forum/476707-kenya-a-failed-state.html
pass on this thread you school boy
Wakenya wachache ndio wajanja... Huyu niroberry yupo upande wa majority
this is really serious if its true its very unafrican and they wil be cursed why do that to an old man who does not know whats happening,kindly let the old man rest in peace his time has come,na uku mashariki nasikia jiji la dar es kumesafishwa hakuna beggars au chokora naskia kila mtu ameambiwa avalie suti yake ile nzuri zaidi ili kumkaribisha bwana obama. Naskia kipindi kilichopita katika ziara ya bush simu hazikufanya kazi tanzania zilikuwa eti zimefungwa na CIA mawaziri wote ilibidi wanuswe na mbwa wa maja susi wa kimarekani mpaka rais wa tz ajabu,je mtaweza kweli haya tena kuwa kama watumwa na vibaraka wa mzungu?
Na wewe si unge-copy basi hiyo habari kisha ukaiweka hapa? Majority wanatumia simu ambazo zingine hazina uwezo wa kufungua links!
[TABLE="class: tr-caption-container"]
[TR]
[TD="align: center"][URL="http://4.bp.blogspot.com/-DjL6EQVtRMM/Uctd6OiHOMI/AAAAAAAAAY8/Cq4V1dys0Sg/s1600/eastafricatimes-jacob+zuma.jpg"]![]()
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption, align: center"] President Jacob Zuma[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Mr Zuma cancelled his trip, which had been scheduled for Thursday, after visiting Mr Mandela in hospital where he "found him to be still in a critical condition", according to a statement from the President's office.
The announcement comes after sources confirmed to Sky News that Mr Mandela was no longer able to breathe assisted.
The 94-year-old anti-apartheid leader was taken to a Pretoria hospital with a recurring lung infection on June 8, where he has now been treated for 19 days.
Stuart Ramsay, Sky News' Chief Correspondent, who is in South Africa, said: "Nelson Mandela's tribal leaders have been told to prepare for the death of the former president, who remains in hospital unable to breathe without support.
"The advice comes after meetings with the family over the past two days.
"Senior tribal leaders - including Mr Mandela's tribal heir, grandson Mandla Mandela - were expected to visit the hospital for further talks with family members.
"In the Eastern Cape, where Mr Mandela will be buried, a member of the tribal authority confirmed that the clan had been told that he is extremely ill and although it is against Xhosa tradition to even discuss the death of a living person, they should prepare for the worst."
The statement from the President's office said that Mr Zuma was briefed on Mr Mandela's condition by the doctors treating him.
Source: SKYNEWS
NB: Mambo bado mpera mpera, tuendelee kuomba! "Ukiwa na imani japo kama chembe ya haridali, unaweza kuuambia mlima toka; na ukatoka!" By JESUS.