Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Mwenye namba ya mwenyekiti.... Maisha ya Loga yanazidi kuwa ya mashaka.....
 
nasubiri kusikia toka kwa huyo kocha wao anaye ongea sana na huyo mchezaji (tambwe) wao anayeongea kama kazi yake kuongea!
Umesema kweli mkuu.
katika wachezaji wanaopenda kuongea ongea na waandishi wa habari, tambwe kazidi, hata kma mechi haimuhusu.
 
Back
Top Bottom