Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
nasubiri kusikia toka kwa huyo kocha wao anaye ongea sana na huyo mchezaji (tambwe) wao anayeongea kama kazi yake kuongea!
Yani mkuu mwenyewe sijui kilichokua kimenipata tangu juzi,nahisi nilikua nimerogwa.Maana unatakiwa kuwa na akili ya mwendawazi kuishabikia Simba aise lol.Hivi ilikuaje ukataka BAN ambayo ingevunja rekodi?
Nikiriripoti toka mbeya ni mimi NDOMYANA wa jf
na aangalie kabla ya ligi kuisha anaweza kutembezwa!mchovu tu na yy, yaani pale huyo logwalogwa, matambwe, na huyo mcheza mieleka mkenya wanajifanya wanaujuaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Dah,yani we acha tu mkuu.Mkuu nimefrai sana ulivopona, daaa ingeniuma sana, ila kuna mtu alitaka kuleta za kuleta
Yani mkuu mwenyewe sijui kilichokua kimenipata tangu juzi,nahisi nilikua nimerogwa.Maana unatakiwa kuwa na akili ya mwendawazi kuishabikia Simba aise lol.
Hahahahahjaja u made mi day mkuuu,thumb up
Yani mkuu mwenyewe sijui kilichokua kimenipata tangu juzi,nahisi nilikua nimerogwa.Maana unatakiwa kuwa na akili ya mwendawazi kuishabikia Simba aise lol.
Dah,yani we acha tu mkuu.
Mkuu Ahsante sana.Alafu MCC walivyotupia tu, Invisible akanitumia PM eti nimrushie 20,000 ili anipoteze nisile ban endapo matokeo yangebaki vilevile.Hongera sana, karibu nyumbani.
Hahahahahaha,nimejua unachotaka kusema,sasa sikujibu.Mkuu wife mnyama nini?
Mkuu Ahsante sana.Alafu MCC walivyotupia tu, Invisible akanitumia PM eti nimrushie 20,000 ili anipoteze nisile ban endapo matokeo yangebaki vilevile.
Nikamwambia kausha usinizingue maana sina wazo ata lakukupa 'jero'
Nilivyomjibu hivyo akaniambia eti nianze kuaga maana game ikiisha tu atakua kama malaika mtoa roho yani hatanichelewesha,nikamwambia poa tu maana mtu mzima atishiwi nyau bhana,nilivyoona ngoma inayoyoma na 'mkia' bado kapakatwa si ndio nikaanza kuaga sasa?ila nimekoma babake.
Hahahahahaha,nimejua unachotaka kusema,sasa sikujibu.
mkuu leo simba waliwazidi sana mcc, basi tu imeptkana sare.Mjii umepoa mbwembwe hamna kama mcc tumefungwa vile
Worry out kijana.ha,ha,haa,haaaaa! kumbe!!!! duh pole sana mambo shwari ss! ila siku nyingine usijiapize mbele zake ha,haa,haaaaa! welcome back to earth bro!!!!!!!!!!
Umeona eeeh!Eti 20buku, hii nini, sio Ulimboka?