Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Updates mpambano wa Mbeya city na Simba

Mkuu Ahsante sana.Alafu MCC walivyotupia tu, Invisible akanitumia PM eti nimrushie 20,000 ili anipoteze nisile ban endapo matokeo yangebaki vilevile.
Nikamwambia kausha usinizingue maana sina wazo ata lakukupa 'jero'
Nilivyomjibu hivyo akaniambia eti nianze kuaga maana game ikiisha tu atakua kama malaika mtoa roho yani hatanichelewesha,nikamwambia poa tu maana mtu mzima atishiwi nyau bhana,nilivyoona ngoma inayoyoma na 'mkia' bado kapakatwa si ndio nikaanza kuaga sasa?ila nimekoma babake.

hahaaa eti Invisible alikupm umrushie twenty lol umenichekesha sana
 
mkuu leo simba waliwazidi sana mcc, basi tu imeptkana sare.
Hapana ndg yangu MCC wako vizuri, ila leo haikuwa bahati yao kushinda, timu ys simba ni maarufu kwa jina sio mpira. Timu kubwa hizi huwa zinacheza mechi njae ya uwanja, zikikitana na timu kama MCC ambayao haichezi mechi nje ya uwanja, matokeo kama haya ya leo ni common
 
Hapa mbeya hali ya hewa ni nzuri ikiambata na kiubaridi.

Kiukweli mechi hii haina msisimko tofauti na ile ya mbeya city na yanga,.

Mji bado umepoa na simba wakiwa bado wamejificha kusikojulika hata apa sokoine uwanjani kupasha misuli hawapo..

Ila uwanja wa sokoine upo vizuri na bado unapambwa.
Nani ni nani itajulikana kesho
DSC_0441.JPG


IMG-20140215-WA0005.jpg

HT= mbeya city1 -simba0

-kipindi cha pili kinaanza

-simba1- mcc1

dk25 mcc1-simba1

-dk32 mcc1-simba1

simba wanapata kona apa wanakosa
-Full time mcc1- simba1




MATOKEO LIGI KUU BARA: Mbeya City 1-1 Simba, Mtibwa 0-1 Prisons, Ruvu Shooting 1-0 Coastal, JKT Oljoro 0-0 JKT Ruvu, Ashanti 0-0 Kagera, Rhino 1-1 Mgambo JKT.
 
Nilikuwepo sokoine kuangalia mechi. mcc wanabebwa sana na refa, hususani kipindi cha kwanza refa wa kati alikuwa anaachia rafu za mcc, ile penalti haikuwa ya halali, mshika kibendera mmoja alikuwa anatoa offside dhidi ya simba zisizokuwa za halali.
 
... Wakati tunajiandaa kuwameng'enya wavuvi wa Comorro hapo kesho kwa goli 3-0 (hatutawapiga nyingi kwa sababu za Kidiplomasia na za Haki za Kibinadamu); hebu tupienimo msimamo wa Ligi baada ya hivi vimechi vya wachovu vs waporipori!
 
... Wakati tunajiandaa kuwameng'enya wavuvi wa Comorro hapo kesho kwa goli 3-0 (hatutawapiga nyingi kwa sababu za Kidiplomasia na za Haki za Kibinadamu); hebu tupienimo msimamo wa Ligi baada ya hivi vimechi vya wachovu vs waporipori!

Duuh mkuu upo dunia gani ndugu yangu.
 
Yanga tukimchapa Azam ubingwa uleeeee....
 
Pongezi nyingi Mbeya City, ila wahusika wa uwanja sokoine wajirekebishe jana watu wameishia nje ya uwanja tiketi zimeisha tangu sa saba mchana, na watu wenye tiketi walifungiwa mlango nje
 
Back
Top Bottom