Yani na technolojia yote hii watu wa UK hamkuweza kuwa na Camera nzuri. Picha zimetokea kama zimepigwa kwenye simu ya Camera ya Mchina tena zile za mwanzomwanzo. Pia tungependa kujua zaidi, nini katika yatokanayo???
kwani ujumbe hujapata? acha hizi wewe, kwa kuwa ni UK ulitgegemea nini mwenzetu?
Ni bahati mbaya sana Mkutano huu umefanyika nikiwa kwenye likizo fupi nyumbani Tanzania.
TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com
Katika hizi picha naona bendera za chadema nyingi kuliko watu waliohudhuria mkutano, sasa sijui mpiga picha alidhamiria kuonyesha bendera tu au turn out ilishake kimtindo!
Mkutano umefana sana na ujumbe umefika.Hongera Lema,Hongera Watanzania.
ni kikao cha wanandugu, watanzania wote wapenda maendeleo na wanaopinga ufisadi ni ndugu.Huo mkutano au kikao cha wanandugu.
Vijiji vingi Tanzania hakuna matawi ya chadema mnaenda kufungua matawi uingereza jamani hiki chama na chenyenyewe hiki wasiwasi mtupu!
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.
Hakuna tawi wala nini hapo watu wamefuata ulaji na unywaji tu! Hao si wapiga kura wanafaida gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
Ni bahati mbaya sana Mkutano huu umefanyika nikiwa kwenye likizo fupi nyumbani Tanzania.
TUMBIRI (Upanga, Dar es Salaam - Tanzania),
tumbiri@jamiiforums.com