Vijiji vingi Tanzania hakuna matawi ya chadema mnaenda kufungua matawi uingereza jamani hiki chama na chenyenyewe hiki wasiwasi mtupu!
Hakuna tawi wala nini hapo watu wamefuata ulaji na unywaji tu! Hao si wapiga kura wanafaida gani?
Chama
Gongo la mboto DSM
Maaana yake nini kufungua tawi la CHADEMA kwenye Bar ya Wa KENYA tena MWEZI WA RAMADHANI.
Au ndio maagizo ya Ndesamburo?
![]()
Chadema sidhani kama wana uelewa wa kutosha kuhusu jamii ya wa Tanzania na maana ya mwezi mtukufu wa Ramadhani.
Simply; huu ni ushahidi mwingine wa kutosha kuwa Chadema ni chama cha walokole na walevi
mwezi wa ramadhani ndiyo kitu gani?
Kama wangekuwa walokole wamepanga event lazima ingekuwa church sio baa. Mbona siku hizi za mwezi Ramadhani wauza pombe wote wanalalamika biashara yao inadorora??
TIyari Watu wameanza kuandika kutosha Marengo mbali mbali za ya London na shughuli yens ewe utaanza saa mbilinyi na unsigned ya Huku London ili WBA wale waisilamu wewe wameshafuturu na kujiunga na safari hii ya uko bozo .
Naona jirani zetu wa malawi ndio mshaanza kujipenyeza kupitia CHADEMA ! chadema kuweni makini
Mkuu, msitafute wachawi!! hii ni moja katai ya uzembe, ujinga na ubabaishaji wa chadema, bado hawaja komaaa na hawana uwezo wa kutosha
Mkuu kile kiswahili hakifanani na cha hapa nyumbani...kama cha malawi vile
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.
Piga hizo NO kwa mawasiliano zaidi!
Unajifanya umeshindwa kuelewa kinachoendelea?
Hili la M4c halitawabakiza mafisadi popote pale walipo!