UPDATES: Mkutano wa CHADEMA jijini London...

sasa waliosema unafanyika bar, mbona hapo sioni pombe? au walitumwa na nani?
 
kwani ujumbe hujapata? acha hizi wewe, kwa kuwa ni UK ulitgegemea nini mwenzetu?

Yani na technolojia yote hii watu wa UK hamkuweza kuwa na Camera nzuri. Picha zimetokea kama zimepigwa kwenye simu ya Camera ya Mchina tena zile za mwanzomwanzo. Pia tungependa kujua zaidi, nini katika yatokanayo???
 
Vipi vitendea kazi ameshafungasha vya kutosha?manake jana nimeona kitu cha chopper kinamaliziwa kufungwa propeler moja,good work.
 
kwani ujumbe hujapata? acha hizi wewe, kwa kuwa ni UK ulitgegemea nini mwenzetu?

Inaelekea wewe ndiye uliyepiga hizi picha. Basi tupe yatokanayo, picha hizi pekee bado hazijatoa hadidu za rejea.
 
Katika hizi picha naona bendera za chadema nyingi kuliko watu waliohudhuria mkutano, sasa sijui mpiga picha alidhamiria kuonyesha bendera tu au turn out ilishake kimtindo!
 
Mkutano umefana sana na ujumbe umefika.Hongera Lema,Hongera Watanzania.
 
Katika hizi picha naona bendera za chadema nyingi kuliko watu waliohudhuria mkutano, sasa sijui mpiga picha alidhamiria kuonyesha bendera tu au turn out ilishake kimtindo!

Hapana mkuu kuna uchakachuaji wa picha umefanyika pale kwa mjengwa, mm mwenyewe nilihesabu watu waliohudhuria walikuwa 13 hizi picha zinaonesha 11 tu.
 
Mkutano umefana sana na ujumbe umefika.Hongera Lema,Hongera Watanzania.

Mkutano haujafana, ili ufane ilibidi Lema aende na gwandaz kadhaa. Sasa hapa kwenye mkutano Lema peke yake ana gwanda, wenzake wote wamekula vitu casual!!!
Halafu mbona bendera nyingi kuliko wahudhuriaji?!!!
 
CCM mkubali tu CDM wamewabana vya kutosha.

Mpaka ifike 2015 mtakuwa mmeumia sana.
 
Mungu akisema ndio, hapana mtu wa kusema hapana.
Hongera my political party CHADEMA, hongera Tanzania.

Peoples......... Power...............!
 
Vijiji vingi Tanzania hakuna matawi ya chadema mnaenda kufungua matawi uingereza jamani hiki chama na chenyenyewe hiki wasiwasi mtupu!

Hata ukisoma historia utaambiwa kuwa moja ya factor ya kupata uhuru haraka ni external factorz zilisaidia sana.
Kulitambua hilo sshv M4C inapiga mashuti kotekote ndani na nje
 
Hivi Watanzania ushamba utatuisha lini yaani mtu unakwenda kwenye kampuni za Tours, self drive unakodisha Vogue halafu unapiga nalo picha.

Du huyu jamaa atapasuka aisee. Mwishowe utajitaja bila kujua na wivu wako.
 
Ukweli husemwa:


Palipo na ukweli mara nyingi uongo hujitenga.

Inavyoonekana kuna watu furani wamemwingiza mkenge Lema kwa ajiri ya manufaa yao binafsi. Nilihoji na kupinga huu mpango mzima wa haraka haraka bila hata maandalizi mazuri kufanyika.

Watu waliohuzuria hawakufika hata 15 na wengi wao ni wale wale tunaowaona kwenye minuso mbalimbali hapa UK na pia kwenye mikutano ya CCM UK. Watu kama Chris Chagula

Hakuna ofisi ya Chama achilia mbali uchaguzi wa viongozi.

Watanzania, hebu tujalibu kuwa makini hata kidogo tu na tuachane na tabia ya Uchakachuaji.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom